Natafuta sehemu nzuri kwa ajili ya Honeymoon

Joined
Sep 25, 2016
Posts
15
Reaction score
8
Poleni na majukumu ndugu zangu

Samahani naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie kujua sehemu nzuri yenye gharama nafuu kwa ajili ya honeymoon. Kwa upande wangu nilikuwa napendelea sana sehemu zifuatazo:- Zanzibar, Historical sites na baadhi ya National Parks kama Saadan na Saanane.

Please kwa anaefahamu msaada please!
 
Nakushauri saadani au serengeti
 
National park ya ukweli piga Serengeti au ngorongoro mkuu hutajutoa honeymoney yako
 
Nenda Usambara highland,,( Lushoto) hutojutia kwebda huko,
 
Unayempeleka honeymoon umemkuta bikra au unaenda kutafuna big G iliyokwisha tafunwa kwa gharama kubwa! C bora hiyo ela ukajengea au ukaanzisha mradi wenye maana na utakaokusaidia kuliko kumpeleka mchumba wa mtu uliyempola
 
Back
Top Bottom