Gharama za mashine za kukoboa mpunga,kubind mifuko,kununua na kuprint vifungashio vya unga na mchele

Sep 25, 2016
15
8
Ndugu waungwana naomba msaada kwa wenye ufahamu wa gharama za MASHINE ZA KUKOBOA MPUNGA, KUSAGA MAHINDI,KUFUNGA MIFUKO BAADA YA KUPAKI BIDHAA KAMA MPUNGA AU UNGA,lakini pia naomba kufahamishwa kiwanda kinachojihusisha na uzalishaji wa mifuko ya vifungashio na kuprint chapa unayotaka.
Pia naomba kujua hatua za kuchukua awali kabla ya kuanza biashara ya kuuza bidhaa za vyakula (mchele na unga) ambazo unakuwa umezizalisha mwenyewe na kuzipaki kwa lable yako mwenyewe.(hapa nimeshindwa kujua namna ya kupimiwa bidhaa hizo ili kuweza kuweka lable ya expire date and production date.
NAWASILISHA,
 
Back
Top Bottom