Nauli go and return= 800
Huwa nakula kitu kinaitwa Brunch yaani baada ya breakfast na kabla ya lanchi (lengo nibane nisile mchana na sisinywe chai asubuhi natumia 1000.
Maji 500
Vocha 500
Jioni nakula 1500
Kila siku Jumla ni: Sh. 4300.
Ila kwa kujibana sana.
Ebu tulia kwanza naomba wajuvi wa masuala haya wanifafanulie sijaelewa kitu, kwamba sisi tuna 16% kwenye kampuni hiyo halafu faida ni 50% kwa 50%. Inakuwaje kwamba mtaji wetu au sijui niseme hisa kwenye kampuni ni 16% sasa sisi faida ya kugawana 50 kwa 50 inakuwaje?
Mifumo ya elimu bongo inatakiwa iwe konk sana! Haya malumbano ya kisiasa ndio yanaharibu tusiendelee. Eti mtu akigundua silaha, anakamatwa anatiwa ndani. Mawaziri wana kazi ya ku-abandon upinzani tu. Time Travel iliwezekana kwa Yesu pekee.
Simbachawene kateuliwa kwasababu ni mtu wa ndiyo mzee, he is very coward! Hawezi ku-initiate kitu chochote bila kuambiwa. ni mtu wa kufuata matakwa ya bosi wake. Hana Creativity.
Teknolojia toeshi inakuwa applicable kwa pande mbili tu yaani KIROHO na KICHAWI tu. Yesu Kristo alikuwa na Teknolojia Toeshi na ndio aliitumia kupaa kwenda kunakodaiwa ni Mbinguni. Na wachawi nao wanayo Technolojia toeshi ile kufumba na kufumbua kutoka Mwanza to Dar ni sekunde. Itachukua muda...
Mbona hata 1000 (buku) unatajirika? Ingia sokoni majira ya jioni au alfajiri bei ya bidhaa iko chini.
DAY1
Nunua Tikiti zima la 1000 ( buku), nenda sehemu yenye uhitaji katakata pata vipande 5. Jero isevu.
500× 5= 2500
DAY2
Nunua matikiti 2 kwa 2000 na mia tano itumie tu.
Katakata tena...
Vodacom ni sheria ipi mnaifuata kuvujisha mawasiliano ya watu? Sheria iko wazi kwamba mnaweza kufanya hivyo pale tu mtakapohitajika kufanya hivyo kwa amri ya Mahakama. Sasa mtuambie ni mahakama gani iliwaamuru kutoa hayo mawasiliano au kuvujisha au kusimamisha/kufunga mawasiliano ya watu...
Tundu lissu alishambuliwa kwa risasi 36 na zikampata 16 mchana kweupe eneo linalokaliwa na viongozi wa serikali lenye ulinzi 24/7, akiwa kwenye shughuli za kibunge. Mpaka leo hata mtuhumiwa hatujawahi kumsikia licha ya kuambiwa serikali ina mkono mrefu.
Ben Saanane alitekwa na kutoweshwa, simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.