Simbachawene anarudije kwenye Baraza la Mawaziri?

Tuhuma zilithibitishwa kwenye kamati ya maadili ya bunge, ile kamati iliyomtia hatiani Pascal Mayalla kwa wakati mmoja na CAG Prof. Asad kwa wakati mwingine.
kama unayo clip ya mamlaka ya uteuzi ikitoa sababu za kujaza nafasi ya nguruwechawene itupie hapa.
kama huna tuondolee busha lako hapa.

Hujawahi kuwa na Akili siku zote hapa Mtandaoni na ningeshangaa sana leo ungekuwa nazo.
 
Hawa jamaa 2 inaonekana hata wakiamua siku kumtukana mkuu na kwenda kupaka kinyesi Ikulu Rais ataendelea kuwabeba na kuwalinda wasiguswe.
Simbacjawene hakuwahi kuiba,alijiyzulu kwa kuwajibika na kulinda hadhi ya serikali
Ndio maana likitokea tatizo uungwa ni kujiuzulu huwezi jua.kesho.unaweza kurudi
 
Professorial rubbish report
Nimeshangazwa sana uteuzi wa Simbachawene kuziba nafasi iliyoachwa na Januari Makamba aliyetenguliwa kwa kosa la baba yake.Simbachawene alihusishwa na tuhuma za uhujumu Uchumi kwenye Tume ya Kuchunguza Biashara ya Madini na akajiuzulu.

Sasa leo hii Rais Magufuli anajipambanua katika kupambana na Rushwa na Ufisadi iweje kamteua tena Simbachawene kurudi kwenye Baraza la Mawaziri na katumia vigezo gani na sifa zipi hasa. Hii kama siyo DOUBLE STANDARDS ni kitu gani?

Ile kauli ya Mzee Makamba na Kinana na Nape kuwa Magufuli ni MSHAMBA na AMESHA ANZA KUCHANGANYIKIWA inajidhihirisha katika uteuzi na utenguaji huu.

Magufuli kama Mwenyekiti wa CCM(T) na Rais wa JMT anazidi kuibomoa CCM vipande vipande huku akiendelea kutengeneza maadui ambao siku moja wakiamua kuungana hali itakuwa mbaya kuliko inavyodhaniwa.

Haiwezekani mtu ambaye ni chanzo cha yote haya: Bwana Cyprian Musiba yeye haguswi, haonywi wala hasemwi. Musiba ameonekana naye ni mtoto pendwa sawa na DAB(Bashite).

Hawa jamaa 2 inaonekana hata wakiamua siku kumtukana mkuu na kwenda kupaka kinyesi Ikulu Rais ataendelea kuwabeba na kuwalinda wasiguswe.

Hii ni hatari sana!
 
Professorial rubbish report

nkuwi,
Rubbish is thyself and your friend Simbachawene....!!!
Anything rubbish it stinks and nobody will be interested...!!
This thread has now clicked 5 pages with several thousand followers and viewers including you...!!!
 
Kanywe maji kwanza.....
mwakani kachukue form gombea Mungu akusaidie uingie mjengoni tuone kama utapata huo uteuzi...usituvuruge...Simbachaweni is a good lawyer,MP na mjenga hoja mzuri sana ….kule kuondoka ni uwajibikaji wa pamoja.
 
Nimeshangazwa sana uteuzi wa Simbachawene kuziba nafasi iliyoachwa na Januari Makamba aliyetenguliwa kwa kosa la baba yake.Simbachawene alihusishwa na tuhuma za uhujumu Uchumi kwenye Tume ya Kuchunguza Biashara ya Madini na akajiuzulu.

Sasa leo hii Rais Magufuli anajipambanua katika kupambana na Rushwa na Ufisadi iweje kamteua tena Simbachawene kurudi kwenye Baraza la Mawaziri na katumia vigezo gani na sifa zipi hasa. Hii kama siyo DOUBLE STANDARDS ni kitu gani?

Ile kauli ya Mzee Makamba na Kinana na Nape kuwa Magufuli ni MSHAMBA na AMESHA ANZA KUCHANGANYIKIWA inajidhihirisha katika uteuzi na utenguaji huu.

Magufuli kama Mwenyekiti wa CCM(T) na Rais wa JMT anazidi kuibomoa CCM vipande vipande huku akiendelea kutengeneza maadui ambao siku moja wakiamua kuungana hali itakuwa mbaya kuliko inavyodhaniwa.

Haiwezekani mtu ambaye ni chanzo cha yote haya: Bwana Cyprian Musiba yeye haguswi, haonywi wala hasemwi. Musiba ameonekana naye ni mtoto pendwa sawa na DAB(Bashite).

Hawa jamaa 2 inaonekana hata wakiamua siku kumtukana mkuu na kwenda kupaka kinyesi Ikulu Rais ataendelea kuwabeba na kuwalinda wasiguswe.

Hii ni hatari sana!
Ameweza kurudi tu kutokana na ushamba na roho mbaya ya Mzee Meko!
 
mawaziri wengi wanaondolewa kwa sababu ambazo sio za kiutendaji ni sababu binafsi/mabifu yakiisha unarudiahwa
 
Usishangae hata Kitwanga akirudi.

Anayewateua na kuwatumbua hana formula.
 
2020 Musiba mbunge wa ILALA,
2020 BASHITE mbunge wa MISUNGI[KOROMIJE]

Bashite anapewa Wizara ya Ulinzi.
Msibani anapewa mambo ya ndani.

jokate -mtama kwa nappe.

Dogo happy asojielewa anapelekwa Moshi kwa wachagga , hatopata kura ila atatangazwa kwa lazma.
 
Ubashiri unaofanana na ukweli...!!
Tusubiri.
 
Nimeshangazwa sana uteuzi wa Simbachawene kuziba nafasi iliyoachwa na Januari Makamba aliyetenguliwa kwa kosa la baba yake.Simbachawene alihusishwa na tuhuma za uhujumu Uchumi kwenye Tume ya Kuchunguza Biashara ya Madini na akajiuzulu.

Sasa leo hii Rais Magufuli anajipambanua katika kupambana na Rushwa na Ufisadi iweje kamteua tena Simbachawene kurudi kwenye Baraza la Mawaziri na katumia vigezo gani na sifa zipi hasa. Hii kama siyo DOUBLE STANDARDS ni kitu gani?

Ile kauli ya Mzee Makamba na Kinana na Nape kuwa Magufuli ni MSHAMBA na AMESHA ANZA KUCHANGANYIKIWA inajidhihirisha katika uteuzi na utenguaji huu.

Magufuli kama Mwenyekiti wa CCM(T) na Rais wa JMT anazidi kuibomoa CCM vipande vipande huku akiendelea kutengeneza maadui ambao siku moja wakiamua kuungana hali itakuwa mbaya kuliko inavyodhaniwa.

Haiwezekani mtu ambaye ni chanzo cha yote haya: Bwana Cyprian Musiba yeye haguswi, haonywi wala hasemwi. Musiba ameonekana naye ni mtoto pendwa sawa na DAB(Bashite).

Hawa jamaa 2 inaonekana hata wakiamua siku kumtukana mkuu na kwenda kupaka kinyesi Ikulu Rais ataendelea kuwabeba na kuwalinda wasiguswe.

Hii ni hatari sana!
Mara simbachawene, Mara ushamba, Mara bashite na musiba

Focus.... Focus
 
Simbachawene kateuliwa kwasababu ni mtu wa ndiyo mzee, he is very coward! Hawezi ku-initiate kitu chochote bila kuambiwa. ni mtu wa kufuata matakwa ya bosi wake. Hana Creativity.
 
Back
Top Bottom