Recent content by Voice of Voiceless people

  1. V

    JamiiForums Tanzania Tusitegemee mzungu kubadilisha uchumi wa Africa

    kinaitwa ukimwi road mkuu kinauzwa Dolla 14.2
  2. V

    JamiiForums Tanzania Tusitegemee mzungu kubadilisha uchumi wa Africa

    taja jina la kitabu mwandishi uyo snaviabu vingi sana mkuu
  3. V

    JamiiForums Tanzania Tusitegemee mzungu kubadilisha uchumi wa Africa

    ukimsoma Professor Rodney ankuambia poor country will remain poor forever hivyo kutoka kwenye umasikini tunaitajika tupambane wenyewe lakini mzungu hana nia yeyote ya kutukomboa kutokana na Umaskini wetu. Hapa nakumbuka maneno ya Rais Nkurumah ambaye alisema tuwe na pesayetu kama Afrika na...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Rudia rudia ya Rais Magufuli mimi ndio Rais wa Tz, kwani kuna mtu kasema yeye sio Rais?

    Hajiamini ila mdaukifika ataamini kuwa yeye siochaguo la watanzania
  5. V

    JamiiForums Tanzania Upinzani hoi! Hawana agenda tena!

    ruhusu mikutano ya kisiasa ndio utajua wapinzani niwakinanani
  6. V

    JamiiForums Tanzania Upinzani hoi! Hawana agenda tena!

    Muongo upinzani unataka utoe sera zake wapi wakati wakisema mnawaita wachochezi ruhusu mikutano ya kisiasa alafu utajua kuwa wanasera mpya au hawana. wanachowashauri bungeni tu nikitu chamaana kwa maslai mapana ya taifa letu
  7. V

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli jiandae kupoteza kura milioni tano 2020

    2020 Chadema wanchukua nchi cha msingi tumuache Mh. afanaye atakacho
  8. V

    JamiiForums Tanzania Kwa hili, PSPF ni mfuko bora zaidi

    Ungeweka sababu kwanini nimfuko bora kuliko mingine. Ila umeandika tu imani yako tuaiyaminije bila maelezo yaliyo jitosheleza
  9. V

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Hatukupeleka mabondia bungeni

    Juliana shonza amelewwa CHADEMA izo ndio fadhira anazolipa duuuu
  10. V

    JamiiForums Tanzania Msaada kilimo cha hoho

    duu aisee mimi ninazo izo pilipili ila sijajua pakuzipeleka
  11. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nairobi wametutangulia mbele
  12. V

    JamiiForums Tanzania Kubenea: Sikumpiga Juliana Shonza, yeye ndio alinipiga mimi na nitamfungulia kesi

    Juliana hajitambui huwezi kumuombewa mwanamke mwenzio mabaya
Back
Top Bottom