Madiwani wamenunuliwa na CCM magufuli alikuwa Mbunge wakati wanapitisha mikataba mibovu ya madini alipitisha mikataba kwa kura ya ndiyoooo.... Acha uongo kwani Wapinzani lazima waje kukuambia kila kitu? Vipo vingi vya kuikosoa serikali mfano ununuzi wa kivuko feki, zile bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa, ununuzi wa ndege kwa cash, ujenzi wa reli, ukarabati wa reli, bomba la mafuta kwenda uganda mikataba , ujenzi uwanja wa ndege wa Chato mikataba imepelekwa bungeni kujadiliwa? Uchakachuaji Zanzibar mmemaliza kero? Udikteta mlioanza wa kuwabambikia kesi Wapinzani ili wakose mda wa kuhoji makosa ya serikali ni mwendelezo wa matukio ya ajabu