Freeman Mbowe: Hatukupeleka mabondia bungeni

Kusinboy

Senior Member
Aug 19, 2016
175
250
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe amelaani kitendo cha wabunge 8 wa upinzani kukamatwa na jeshi la polisi kwa madai yakutaka kumpiga mbunge wa CCM Juliana Shonza, na kusema hawajapeleka mabondia bungeni.

Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe
Freeman Mbowe amesema hayo leo mjini Dodoma baada ya kutoka mahakamani na kudai kuwa wao wanaamini kuwa mahakama itatenda haki kwa wabunge hao.

"Kama ambavyo mnajua kwa masaa zaidi ya 48 wabunge wa CHADEMA wameshinda polisi, jana siku nzima wameshinda polisi na leo wameshinda polisi mpaka mchana huu, kwa maana hiyo wawakilishi hawa wa wananchi wameshindwa kuwajibika kwa ajili ya wananchi kwa makosa ambayo kimsingi kabisa hayakutakiwa kupewa uzito huu yanaopewa, inasemakana kuwa wabunge hawa walimfanyia fujo Mbunge wa viti maalum (CCM) Juliana Shonza jambo hili linafedhehesha sana, sisi tuna wabunge ambao wanajiheshimu na kuheshimu sheria za nchi, hatukupeleka wapiganaji bungeni bali tumepeleka viongozi wa kutunga sheria" alisisitiza Freeman Mbowe

Mbali na hilo Mbowe anasema kitendo cha Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai kulivalia njuga suala hilo ni jambo ambalo yeye limemsikitisha.

"Kitendo cha kuwapeleka polisi na kuwashtaki wabunge wetu na Spika wa Bunge kushadadia jambo hili limenisikitisha sana, Spika kusema ametoa ruhusa wahukumiwe kwa kesi za jinai ni mwendelezo wa kutaka kutunyamazisha, ila hatutayumba na tunaamini kuwa jopo la majaji litatenda haki katika jambo hili, maana hakuna mbunge yoyote wa CHADEMA wala UKAWA ambaye amemshambulia mbunge yoyote yule bungeni" alisisitiza Mbowe.

Katika watuhumiwa wote nane, mtuhumiwa mmoja ambaye ni Mbunge wa jimbo la Ubungo, Mbunge Saed Kubenea leo alipandishwa mahakamani na kushtakiwa kwa kosa moja la shambulio la kawaida hivyo amedhaminiwa na shauri hilo upelelezi wake bado haujakamilika hivyo kesi itatajwa tena tarehe 26, Julai 2017 Dodoma.

Chanzo: EATV
 
JipuKubwa

JF-Expert Member
Jun 1, 2013
2,256
2,000

Spika sijui anataka nini! Ila itabidi huu uonevu ukome, na ili ukome njia ni moja tu...Julius Malema hizi siasa za Afrika anazimudu sana jamaa yule.
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,432

Juliana ni mchepuko wake ndiyo maana kaamua kuwakomoa wabunge wa chadema cha kufanya ni wabunge wa chadema wamsake mke wa Spika na binti zake wachepuke nao ili apate kujifunza aache Udikteta wake.
 
August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
7,321

hivi ile picha iliyoonyesha badhi yao wakiwa wamemshika au kumsonga ni ya kupika?? au walikuwa wakifanya naye mapenzi au walikuwa wanamtongoza au kumtamani?? ambayo ndio kazi walio tumwa
 
Juliana kwanza ndiyo alianza uchokozi walipoamua kumjibu ndipo akakimbilia polisi inaelekea alitumwa na hawala yake mzee Ndungai kwenda kuwachokoza maksudi akijua watamjibu kwa nguvu apate Sababu ya kukimbilia Polisi kuwakomoa.
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,432
2,000
Kwanza Mbunge jasiri ngangari asingekumbilia polisi angekomaa na akishindwa angekwenda kwenye kamati ya maadili, lakini kwa kuwa Juliana ni kunguru na alipanga njama za kuwabambikia kesi kwa njia hiyo. Malipo ni hapa hapa Duniani. ICC haijawahi kumuacha Dikteta Salama
 
Crucial Man

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
3,405
2,000
Juliana ali provoke a fight Kwa maana nyingine hao wabunge wa upinzani wali act in a sense of self defence.
Jaji ataitaji ushahidi, Juliana itabidi atoe udhibitisho beyond reasonable doubt kwamba alishambuliwa.
Ningekuwa judge ningetupilia mbali hii kesi isiyokuwa na merits kuletwa mbele ya learned judge.
 
May 28, 2017
85
125
Unaposema Juliana ni mchepuko wa spika ukiombwa uthibitishe utafanya hivyo, uhuru mliopewa wa kutoa maoni sio kinga ya kufikishwa kwenye vyombo vya sheria, angalieni kuna sheria ya mtandao. ni ushauri tu
 
Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
7,161
2,000
Dah viamerika vimechanganya sana ndani yaspika inaonekana doz ya minjingu haisaidii
 
kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,742
2,000
Juliana ni mchepuko wake ndiyo maana kaamua kuwakomoa wabunge wa chadema cha kufanya ni wabunge wa chadema wamsake mke wa Spika na binti zake wachepuke nao ili apate kujifunza aache Udikteta wake.
Duhh!! Wagonjwa wanaongezeka pole sana Shonza
 
Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
16,336
2,000
hivi ile picha iliyoonyesha badhi yao wakiwa wamemshika au kumsonga ni ya kupika?? au walikuwa wakifanya naye mapenzi au walikuwa wanamtongoza au kumtamani?? ambayo ndio kazi walio tumwa
Don't be too emotional, buddy! Ni kweli alipigwa? Hebu keti, pata tu-maji kidogo. Sasa, digest hiyo picha. Weye huwa unaaitafsirije picha. Tupatie mbinu mkuu.
 
MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,099
2,000
Jamani tujitahid kuwa na akiba ya Maneno

Juliana ni mchepuko wake ndiyo maana kaamua kuwakomoa wabunge wa chadema cha kufanya ni wabunge wa chadema wamsake mke wa Spika na binti zake wachepuke nao ili apate kujifunza aache Udikteta wake.
 
Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,546
2,000
42b4e4bda815758c44703d2eff552f1d.jpg

Nami siwataji
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,998
2,000
Hakuna mbinu au mpango mchafu wa kumkomoa mwenzako uliowahi kudumu hata mwaka mmoja hapa duniani. Kama upo nipeni mfano. Na haya yanayofanyika bungeni wanaoiratibu wanafikiri hasira wanazipata wabunge peke yao! Sijui wanapimia nini hasira hizi na chuki zinazoendelea kujijenga kwenye mioyo ya watu huku mitaani. Makosa hayapo mnalazimisha yawepo! Oneni aibu ninyi wa upande mtamu!
 
August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
7,321
2,000
Don't be too emotional, buddy! Ni kweli alipigwa? Hebu keti, pata tu-maji kidogo. Sasa, digest hiyo picha. Weye huwa unaaitafsirije picha. Tupatie mbinu mkuu.
sipo emotional kwa suala hili dogo lisilo na madhara makubwa kwa nchi, bali napenda ukweli. na labda pia hao wenezetu huko bungeni wajikite zaidi kwenye vitu vya maendeleo na tija kwa nchi na kwa wao wenyewe. badala ya kuwa kama wenye matatizo fulani.
na kingine unachotakiwa kukifanya ukikutana na mtu msiye elewana naye ni vema kujiepusha kujibizana naye mambo ambayo yanaweza kukuletea sintofahamu.ndio maana kuna mpaka sheria ya mtu fulani kutakiwa kutokuwa karibu na mtu mwingine.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom