Kubenea: Sikumpiga Juliana Shonza, yeye ndio alinipiga mimi na nitamfungulia kesi

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea amesema hakumpiga mbunge wa viti maalum Juliana Shonza, Anasema kumzongazonga mtu sio kosa la jinai lakini wamefunguliwa kesi ya jinai kuwa wamempiga wakati yeye ndio alimpiga kwa mkoba wake na atamfungulia kesi na ushahidi anao
Kubenea anadai alikuwa akimuambia aondoke alipokuwa anazozana na wabunge wa Chadema waliokuwa wanamwambia ana roho mbaya sana na hawakutaka kuongea na mtu mwenye roho mbaya
Naibu katibu mkuu wa Chadema Zanzibar alikuwepo nje ya ofisi za polisi Dodoma na kusema walikuwa wamewekwa ofisini hapo bila kupewa maelezo yoyote hadi saa 11 jioniChanzo: Azam News
 
Hv Hayo ndo wapigakura wamemtuma huyu Kubnea kweli akapigane na watoto wadogo tena wa kike Bungeni, Ndio maana ile barabara ya Tandale Uzur imeharibika vile maana hakuna wa kuisemea Serikalini ile kero
 
Hv Hayo ndo wapigakura wamemtuma huyu Kubnea kweli akapigane na watoto wadogo tena wa kike Bungeni, Ndio maana ile barabara ya Tandale Uzur imeharibika vile maana hakuna wa kuisemea Serikalini ile keroHata wananchi wa Tanzania hawakuituma serikali ya ccm iingie mikataba ya kilaghai ya kuuza Rasilimali zetu halafu ije kutulaghai kuwa tumeibiwa vya kutosha huku ikiyafungia magazeti yaliyothubutu kuwataja walioshiriki wizi wa kutuibia Rasilimali hizo.
 
Hv Hayo ndo wapigakura wamemtuma huyu Kubnea kweli akapigane na watoto wadogo tena wa kike Bungeni, Ndio maana ile barabara ya Tandale Uzur imeharibika vile maana hakuna wa kuisemea Serikalini ile kero
Wewe mkeleketwa eeh duu sijui hata unamaanisha nn
 
Wabunge mishahara mikubwa lakini baadhi yao wanafanya pumba tu huko bungeni
 
Mbona hiyo iko wazi.. Sasa kale ka Juliana angekuwa amepigwa hata kofi tu na Kubenea angekuwa pengine ni marehemu sasa hivi
 
Mwanaume mzima unakuja na maneno kuwa yeye ndio amenipiga na mkoba wake na ushahidi ninao,ungekata na kufunua tu tukajua umeenda ngome kihalali mnamuacha mchumba anatamba sasa siku nyingine usije kutia huruma hapa nenda kashitaki kama umeamua!
 
Eti kumzongazonga mtu si kosa, kwanini umzonge?!
Na yeye kwanini alijizongesha ili wamzonge?
Bado nauliza swali: Hivi hawa wanaowatengenezea kesi bandia wenzao na wanaotumia madaraka yao kwa kuwaweka ndani wasiowapenda (kuwatisha) watasalia madarakani milele?
Naamini katika "KIPIMO UNACHOWAPIMIA WENZAKO NAWE UTAPIMIWA HICHOHICHO!"
Ukosefu wa hekima una gharama zake ambazo huwezi kuziona mapema! Remmy aliimba "ukiwa na roho mbaya...."
 
Hv Hayo ndo wapigakura wamemtuma huyu Kubnea kweli akapigane na watoto wadogo tena wa kike Bungeni, Ndio maana ile barabara ya Tandale Uzur imeharibika vile maana hakuna wa kuisemea Serikalini ile kero
Kumbe Juliana Shonza ni mtoto!? Ndio maana ni mbunge wa kuteuliwa kwa sababu watoto hawaruhusiwi kugombea ubunge...!!
 
Huyu mbunge Julian anatafuta kiki na yeye jina lake liwe linatajwa tajwa kwenye magazeti na tv..
 
Mwanaume mzima unakuja na maneno kuwa yeye ndio amenipiga na mkoba wake na ushahidi ninao,ungekata na kufunua tu tukajua umeenda ngome kihalali mnamuacha mchumba anatamba sasa siku nyingine usije kutia huruma hapa nenda kashitaki kama umeamua!
Huyu mheshimiwa si ndio aliomba muongozo wa spika na alidai shanga za wabunge wenzake zinashikwa na kukatwa, zinamwagika ukumbini?
 
Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea amesema hakumpiga mbunge wa viti maalum Juliana Shonza, Anasema kumzongazonga mtu sio kosa la jinai lakini wamefunguliwa kesi ya jinai kuwa wamempiga wakati yeye ndio alimpiga kwa mkoba wake na atamfungulia kesi na ushahidi anao
Kubenea anadai alikuwa akimuambia aondoke alipokuwa anazozana na wabunge wa Chadema waliokuwa wanamwambia ana roho mbaya sana na hawakutaka kuongea na mtu mwenye roho mbaya
Naibu katibu mkuu wa Chadema Zanzibar alikuwepo nje ya ofisi za polisi Dodoma na kusema walikuwa wamewekwa ofisini hapo bila kupewa maelezo yoyote hadi saa 11 jioniChanzo: Azam News

Ni bora ya kuwa na kesi ya kweli kuliko kuwa na kesi feki ya chuki, Walipaswa wampige mitama abinuke miguu juu tujue moja kwani hicho kibunge cha CCM kimchepuko cha Spika kimekuwa na Roho mbaya hakuna mfano lakini Mungu yupo na malipo ni hapa hapa Duniani.
 
Eti kumzongazonga mtu si kosa, kwanini umzonge?!
Kitu muhimu tumejua chanzo, walimzonga zonga watu kadhaa, ni nature ya binadamu ukizongwazongwa utareact na nina uhakika walimzonga huku wakimpiga kwa maneno makali.
Kubenea keshatoa ushahidi wa kuwapeleka mahakamani wao wenyewe!
 
Back
Top Bottom