Recent content by viumbini

  1. V

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

    Nakubaliana na wewe wakiristo Zanzibar wapo hata kabla ya Tanganyika na hawajalazimishwa kufunga waulizeni akina Charles Hilarry kinachogomba hapa ni kula hadharani jambo ambalo limekatazwa usitake kuleta fitna sisizo maana
  2. V

    JamiiForums Tanzania Kama ni zamu ya Zanzibar basi ni balozi Seif Idd

    Kwani Mwalimu ndo nani yeye ni Mungu?wakati ule umepita tunaishi sasa tutizame ya sasa
  3. V

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati: Madudu katika Matokeo Kidato cha Sita 2014 yanatisha

    Naona wewe ndie unayejidanganya elimu ipo kila mahala kuna kuzidiana tu. Fungua macho uone dunia!
  4. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mkwe hii tabia haifai

    He papichu papuhi itatutoa roho!
  5. V

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa kuongea na nafsi ya marehemu au mtu aliye mbali bila uchawi

    Hii ya leo kali tutakupa mji
  6. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya msibani

    Huwa wanazini wao kwa wao kama ndio kweli, ila kama wanazini na wanaume basi wote wanaongoza sio mwanawake pekee yao
  7. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukeketaji

    Hi unakumbuka ulivyokatwa wewe?
  8. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

    Yote tis ahasi ni msibuliaji usiombe utalala na njaa japo chakula kipo
  9. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

    Vaa kanzu panapana zisizogusa mwili wako kama madira labda utapata afueni
  10. V

    JamiiForums Tanzania Ni Mkoa Gani haujawahi kutembelewa na Rais as Official Tour

    Mikoa ya Zanzibar hawezi kwenda kwasababu hana mamlaka wana benedera yao wmbo wa taifa, wanapiga mizinga ishirini na moja yao na mengine
  11. V

    JamiiForums Tanzania Kete ya Dhana ya 'Zamu za Kupokezana' ina turufu yoyote katika Mustakabali wa 'Urais' wa JMT?

    Kwa hiyo unamaanisha muungano wa Tnaganyika wenye watu milioni 44 na wa Zanzibar wenye watu miliono 1 ni wendawazimu?
  12. V

    JamiiForums Tanzania Jussa na CUF, Tupeni maelezo ya kina juu ya sababu za Msingi za kubadili msimamo wenu huu

    Uliwauliza lini ukapata uhakika huo?
  13. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya daktari na mgonjwa

    Ikiwa hamtibu mpaka atoe papuchi hapo ni kosa ila kama wamekubaliana bila masharti atakuwa ni mwehu tu kama wehu wengine
  14. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi wazuia ndoa ya binti yao kufungwa

    Nakubaliana kuhusu kufupisha lakini kwa para mbona ni sawa
  15. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ringtone za kimahaba

    Ushamba tu
Back
Top Bottom