Kama rais akitoka zanzibar basi mtu makini ni balozi seif idd ni mvumilivu wa kisiasa na msikivu kiasi kwamba chama cha wananchi hakina lawama dhidi yake na ni mtu shupavu kiuongozi nafikiri magufuli akiwa waziri mkuu wake mambo yatakuwa motomoto na siasa zitapungua serikalini
Halafu mtoto wa mwinyi umuweke wapi? Lazima awe rais, ili amuweke riziwani waziri na akitoka amrithi. Nchi ina wenyeww hii, weeh sindikiza tu. Hata kama umeoga mjini huendi
No Wanzanzibar wenye sifa, uwezo na kukubalika kwa urais wa JMT wapo wakiongozwa na Dr. Ali Mohamed Shein, tena huyu ni mtu asiye na makuu, asiye na makundi na mwenye uwezo wa kudumisha muungano.
Akipendekezwa yeye, ata defuse makundi na migawanyiko yote ndani ya CCM!, CCM itakuwa ni moja stronger than ever!.
Tatizo litabaki ni kama wapinzani wataweza kuungana na kum field mgombea mmoja, na itokee awe ni Mkristo!.
Baadhi wa Wakristo walioko CCM ambao walikumbwa na dhana ya urais ni kupokezana kati ya Mkristo na Muislamu, wataona this time CCM has not been fair kwa dini yao, baada ya Muislamu, wamewaletea tena Muislamu!, watampiga chini na CCM yake!.
Kiukweli, Ki haki na Kihalali kabisa, kwa CCM, this time ni zamu ya Zanzibar!, ikitokea CCM isimsimamishe Mzanzibari, then itakuwa ni kufuatia kitisho hicho cha udini!.
Pasco.
Alichaguliwa na Mkwewe au babake?
Huijui policy ya CCM? ukichaguliwa Rais wa nchi automatically unakuwa mwenyekiti wa chama. Au hili kwako ni shida kulielewa? Kumbuka, alipochaguliwa Urais hakuwa Mwenyekiti wa CCM.
Sasa jibu swali Mtei alivyompachika uenyekiti Mkwewe alipigiwa kura na nani? Ka hakuna sema tu hakuna, usijibabaishe.
hahhahah you broke my ribs kwamba....umeoga na mjini huendi. King bwana!Halafu mtoto wa mwinyi umuweke wapi? Lazima awe rais, ili amuweke riziwani waziri na akitoka amrithi. Nchi ina wenyeww hii, weeh sindikiza tu. Hata kama umeoga mjini huendi
Ahsante, lakini ungeanza wewe kuwa mzalendo kwa kubadili hiyo ID maana haina hata chembe ya uzalendo.
Tubadili wote mama mzazi.bora ubakie na jina Faiza hiyo Foxy toa hapo mbele. Hili sio jina halisi ni la kuchonga. Sio la kiislamu pia.
Foxy si jina, ni sifa. Kiislaam ni "Kunia". Haina tatizo labda kwa asiyeelewa.
PASCO: Mtaji wa wapiga kura wa Tangayika (>90%) utaendelea kuwa hunt Wazanzibar chaguzi zote za multi partism. Mwinyi aliweza kuwa Rais wa JMT kwasababu alishindanishwa na KIVULI (read one party). Kama unakumbuka Rais awamu ya 3 alikuwa Mkapa. Tukichukua analogy ya kwako, Rais wa awamu ya 4 alitakiwa awe Mzanzibari (kupokezana vijiti) lakini CCM wakampendekeza mtanganyika Kikwete. Wale wanaofahamu geopolitics za Tanzania, tena wakati huo u-NATIONALIST wa Tanganyika ulikuwa bado hajawa mkubwa kama wakati huu. Kama CCM watafanya KOSA hilo la kiiufundi kumsimamisha mgombea kutoka ZNZ kwaajili ya URAIS wa JMT, nakwambia Watanganyika watakuwa tayari hata kumpigia kura Mtikila kuliko kumpigia kura Mzanzibari!
Urais wa JMT Wazanzibari watausikia tu kwenye radio kama vile Hong Kong wanavyousikia Urais wa Watu wa China (mainland China) kwenyer redio. Hakuna mtaanganyika anayejitambua (acha wale wafia chama) atakayekubali kuongozwa tena Mzanzibari, labda kama wazanzibari watakubali S1 au S3, lakini kwa S2 WASAHAU KABISA.
Kwani Mwalimu ndo nani yeye ni Mungu?wakati ule umepita tunaishi sasa tutizame ya sasaWaambie hawa ..eti Zamu kwa Zamu ....mambo hayo ya Gays fresh Ndio wana do me ..I do you !!!
Zamu kwa Zamu ...hata Mwalimu alikataa ...Alisema sio Sheria ....,wakipatikana wazanzibar wenye uwezo ....hata wakifululiza Mara 3 ...sio ISHu....tatizo Wazazibar wenyewe huu Muungano hawautaki hata Ndugu Zangu Ccm ...wanautetea wakiwa Dodoma wakirudi Tunguu ....wanaweka misimamo...
Kunao wachache ambao wamejinasabaisha Kama wana wa Muungano...lakini Hao pia wenzao Zanzibar Wanawaita Wazaramu ...