duh i should like you for sure!Atakuwa anapenda, kwa jamii zinazokeketa hiyo ni heshima.
Kama anajua hilo asiende.
Hajaanza kupigwa kitu?
Just share t with ya parents. .coz these issue can't hold water...
NitawaInform kesho.....ili nao tuone watamsaidia vipi katika hili.
miss strong tupe mrejesho wa wazaz wako kuhusu hii kitu wanasemaje.
hako kanyama ndo steem zangu zipo hapo,du kakikatwa cna haja tena ya kugegedwa coz bila kucheza nako sifik mwisho kama tu mt anacheza loh halaf mt aanze tu kumkatia mwenzie utam wake, hiv kwani ni wjmila ya kijinga hayo
Huyo mtafutie mwanaume aonje utamu alafu mwambie ukishakatwa king'amuzi hakuna tena huo utamu
Umenikumbusha (unanswered cries) yule olabisi duh,,,
Duuuhh yaani mpaka nasisimka mwili kama nakatwa mie vile.....namuonea huruma maana sijui nitamsaidiaje jamani.
Hi unakumbuka ulivyokatwa wewe?
Kumbe bado upo kihome boy!!!?Habari wana MMU
Tuna binti wetu wa kazi ambae sasa ni kama miezi 6 tangia tumeanza kuishi nae.Ni mwenyeji wa mkoa wa Dodoma.
Huyu binti historia yake hakuwahi kupelekwa shule na kwa maana hiyo hawezi kusoma wala kuandika.Alifanyiwa mpango hapa nyumbani akapelekwa sehemu ili ajifunze kusoma na kuandika then utaratibu mwingine ufuate.
Hamna jinsi, kama mnaweza mzuieni asiende kwao!Amekuwa ni rafiki kwangu ingawa me nimempita kiumri ila ananiambia vitu vingi sana.Na huwa na mshauri pale inapobidi...
Juzi mama yake alipiga cm kwa wazazi wangu wakiomba tumrudishe binti yao.Home walikubali na baadae wakampigia tena aongee na binti yao....
Waliongea nae kwa kilugha na hatukujua walichoongea
Sasa leo huyu binti amenifuata chumbani na kuniambia kuwa mama yake atakuwa anamuitia kumkeketa tu maana kabla yakuja huku dar alimwambia akamsalimie bibi yake kijijini (mvumi) akahisi zoez hilo lingekamilishwa lakin hakwenda.
Namuonea huruma sana na nimemwambia kuwa akirudi nyumbani asikubali lakin sasa kaniambia haiwezekani kwani huwa wanawakamatia ndani.
Roho inauma sijajua jinsi yakumsaidia jamani.....nisaidieni ushauri!!!
Kumbe bado upo kihome boy!!!?
Njon nkuoe tuishi pamoja wewee! Ukiandika hapa isomeke 'kwangu' instead of 'kwetu'! Understand???
Hamna jinsi, kama mnaweza mzuieni asiende kwao!
Chefuuuuuuu......ndoa sio malaria kila mtu augue.Hujambo lakini???
Niko poa! Longtime no sea. Umzima weye?
Mmmhhh ndo hapo sasa.....kinang'olewa chote hicho king'amuzi
Hii mila inatakiwa itokomezwe kabisa.Leo binti kakwambia kuwa anahisi kuitwa huko ni kwa ajili ya kumkeketa tuu. Wewe umemshauri kuwa akirudi nyumbani asikubali lakini yeye kadai kuwa haiwezekani kwani huwa wanawakamatia ndani na kuwakeketa. Sheria inasemaje? Kifungu cha 169A(1) cha Sheria ya Tanzania ya Makosa ya Jinai ya mwaka 2002 kinasema:
169A.-(1) Mtu yeyote ambaye, ni muangalizi, anawajibu au usimamizi wa mtu yeyote mwenye umri wa chini ya miaka kumi na nane akimtesa au akimtelekeza mtu huyo au akisababisha tohara kwa mwanamke au akimtahiri au kusababisha tohara hiyo ifanyike au kusababisha mtu huyo adhalilishwe, ateswe, au atelekezwe kwa namna ambayo itamsababishia maumivu au madhara kwa afya yake, pamoja na maumivu au kuharibu uwezo wake wa kuona, kusikia au kiungo chochote cha mwili au akili, atakuwa ametenda kosa la ukatili kwa mtoto.
Kwa kisoma hicho kifungu, mtakuwa mmetenda kosa la jina kama mtamruhusu kwenda kukeketwa, kama kweli ameambiwa aende kukeketwa bila ridhaa yake? Kwa maana nyingine, hiki kifungu cha sheria kinawahusu nyie? Ana umri gani?