Jamani kwa kweli Serikali isipofanya kitu barabara hii ya Dar - Moro, uchumi utadidimia. Yaani hizi foleni za siku hizi hazifai kabisa yaani khaaaa.
Barabara imebaki inaonekana kama kichochoro tu.
Ajali ndogo tu foleni mnakaa masaa 5
Sidhani kama hiyo ni shida kabisa. Inajulikana utaratibu wa majina matatu umeanza miaka ya juzi tu. Wengi wetu kuanzia 2000 kurudi nyuma vyeti vya shule utaratibu ulikuwa majina 2
Wadau hivi inawezekana kubadilisha jina ÑIDA na kupewa kitambulisho kipya kutumia jina la Ubatizo ?. Mfano nilikuwa naitwa KINYESI MKOJO MAVI, sasa nataka lisomeke JEKA MKOJO MAVI. Nilishakamilisha deed poll na kuitangaza gazeti la Serikali. Taratibu ni zipi wadau na naingiaje NIDA? Asanteni
Kwa uchunguzi wangu mdogo, vijana wengi waliosoma English medium schools ni wavivu na hawawezi kufanya kazi ipasavyo ukilinganisha na waliosoma Shule za serikali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.