Nchi yangu jamani: Barabarani pikipiki inakwaruzana kidogo na kijigari kidogo tu Mlandizi foleni mpaka Kibaha maili moja. Bado tuna safari ndefu sana

Tondelo

Member
Apr 29, 2011
25
28
Jamani kwa kweli Serikali isipofanya kitu barabara hii ya Dar - Moro, uchumi utadidimia. Yaani hizi foleni za siku hizi hazifai kabisa yaani khaaaa.

Barabara imebaki inaonekana kama kichochoro tu.

Ajali ndogo tu foleni mnakaa masaa 5
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom