Recent content by VISSION

  1. V

    JamiiForums Tanzania Am looking for serious man

    Mambo, za kwako?
  2. V

    JamiiForums Tanzania CCM kwaiva: Kama si Salim ni Mwandosya

    ikulu sio wodi ya wagonjwa
  3. V

    JamiiForums Tanzania Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

    kwa jinsi unavyo comment zako ni wazi kua unahitaji ukombozi
  4. V

    JamiiForums Tanzania Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

    mi nilisoma vyuo vya kata lakini leo ni boss na ninawaongoza waliosoma vyuo visivyo vya kata alafu bro wangu nae alisoma vya kata lakini ana kampuny na amewaajiri hao unaowaita hawajasoma vyuo vya kata .so hacha vikra za kizee
  5. V

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Process ya kumfukuza mtu CCM ni ndefu

    ccm hafukuzwi mtu bali ukileta zako wana kukolimba fasta
  6. V

    JamiiForums Tanzania Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    kama hiyo ni kubwa sana kuna fundi mtalaamu wa kupaua nyumba za tembe bei nafuu sana
  7. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Samaki arukia sehemu za siri

    habari nyepesi hizo akuvaa nguo ya ndani?
  8. V

    JamiiForums Tanzania Warioba:Tanganyika ina shutumiwa kwa kuvaa koti la Muungano na kufanya Tanzania ndiyo Tanganyika

    vipi sudani kusini? au DRC kongo kuna Al qaeda? usiwe na ufinyu wa kufikiri
  9. V

    JamiiForums Tanzania JK: CCM Tujiandae kisaikolojia muundo wa serikali tatu

    nape alifikiri wanachi wa tz bado wako enzi za mwalimu? we subiri uone walikua wanakataa serikali tatu sasa watajiunga na wapinzani kuunga mkono hoja
  10. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

    wabongo bana
  11. V

    JamiiForums Tanzania ‘Ambulance’ nusura ichomwe moto

    lilikua ziara ya kichama jamani tuvumiliane tu ni mambo yakawaida tu jamani si unajua akija kiongozi mkubwa kutoka makao makuu lazima tuandamane nalo
  12. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mafuta ya kupaka during sex act

    mwambie awe anachemsha nyanya chungu na ale kwa wingi sana mbona ni few days kaishakua flesh tu sio vichips vyake hivyo anavyokula. swala la mafuta utatumia hadi lini?
  13. V

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Kenya ilihairisha kuivamia Tz kijeshi mwaka 1984??

    ulikotoa habari hii ndo kuna jibu la swali lako endelea kudadisi utajua tu mkuu
  14. V

    JamiiForums Tanzania Nyongezaaaaa ya mshahara kwa waalimu

    subili budget mwezi wa sita ndo utajua
  15. V

    JamiiForums Tanzania CRDB wauzia wateja kadi za ATM

    naona wewe ni mgeni kakita huduma za kibank mbona ni ishu za kawaida hizo kama ulikua hujui habari ndiyo hiyo ukiona huwezi kumudu tunza kwenye vibubu
Back
Top Bottom