Recent content by Viscom

  1. V

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea Askofu Desmond Tutu naye amlaum Yoweri Museveni

    Hakuna cha Tutu wala Tutusa suala la Msingi ni kwamba hatutaki ushogaaaa....t
  2. V

    JamiiForums Tanzania Feedback kutoka arabuni...

    haya bwanaa
  3. V

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Ujenzi wa Matofali ya Kuchoma hautumiki sana Dar ?

    jifunze kutofautisha mazingira,mbona hujaulizia matembe posta wakati Dodoma na Singida ya mejaaa.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: wizi wa ATM nimeibiwa laki 4

    zipo bank komavu kama CRDB na NBC wewe unaweka hela saccos unadhani ni bank?
  5. V

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Mbogwe mkoani Geita anasumbuliwa na kamatakamata

    Jana nimezungumza naye jioni akanijulisha kuwa ni juzi tu alivamiwa usiku kwake majira ya saa saba hivi na kukamatwa na wanaojihusisha na ukamataji wa wahamiaji haramu wakati haijakamilika wiki moja tangu akamatwe tena na kurundikwa ktk godown
  6. V

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Mbogwe mkoani Geita anasumbuliwa na kamatakamata

    Harakati na vuguvugu la kamatakamata ya wahamiaji haramu sasa linaanza kuchukua sura ya aina yake baada ya kuwa ni zoezi la kumvamia mtu usiku kwake na kumkamata wakati alishawahi kukamatwa tena na kuachiwa. Taarifa zilizopo ni kwamba mwenyekiti huyo amechoshwa na usumbufu huo na ameomba...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Ajali basi la Osaka la Dar-Bukoba eneo la Masumbwe Msalabani-Bukombe Geita

    nilikuwa eneo la tukio naomba kurekebisha siyo Masumbwe msalabani ni Masumbwe eneo la Shireko(Kagri)njia ya kuelekea kiwanda cha kupembua pamba(Ginnery)karibu na kituo kidogo cha Mzambarauni(Masumbwe Mzambarauni)..picha zipo ktk acc yangu ya facebook(fungua Victor Wilbard) au www.habarimpya .com
  8. V

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kujifunza uchawi!!!

    umepotea vibaya
  9. V

    JamiiForums Tanzania Yametimia! M23 wahofiwa kujificha Dar es salaam

    kwa mfumo wa upashanaji habari uliopo nchini mi nadhani tayari wangekuwa washadakwa Tanzania taarifa zinasambaa mno na karibu kila Mtanzania ni mpelezi
  10. V

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya Alizeti nayo hatari kwa afya - TFDA

    TFDA ni aina fulani ya sumu kali sana
  11. V

    JamiiForums Tanzania ''BIG RESULTS NOW" Inaanza lini?; Picha zaeleza

    acheni masukhara hivi mnaifahamu vizuri big result?....hakuna ni wimbo uleule kiitikio ni Now!!
  12. V

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kuvaa "kikuku" inaashriria nini?

    akigeuka nyuma ulimuonaje?anarembua au?
  13. V

    JamiiForums Tanzania Rehema Chalamila a.k.a. Ray c asarenda kwa Yesu Kristo

    amefanya uamuzi sahihi.
Back
Top Bottom