Wapizani wasitisha maandamano, mkutano uko palepale (Sept 21, 2013)

Wapizani wasitisha maandamano, mkutano uko palepale (Sept 21, 2013)

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,789
Reaction score
165,484
Msemaji wa umoja huo,Prof.Lipumba amesema baada ya kikao chao na IGP wamekubali kuahirisha maandamano hayo yaliyokuwa yafanyike kesho na badala yake yatafanyika tarehe 5 October.Hata hivyo mkutano uliopangwa kufanyika hiyo kesho utaendelea kama ulivyopangwa.

CHANZO:CLOUDS FM
 
Ndiyo maana kwenye suala la katiba anayewabeza hawa viongozi (Pr. Lipumba, Mh. Mbatia na Mbowe) hawatendei haki, hapa kinachotafutwa ni muafaka wa Tanzania. Hao wahafidhina wa CCM wanataka kumharibia JK, kwani ndiyo fursa pekee aliyobakia nayo ya kukumbukwa na Tz. Hongereni viongozi wa upinzani kwa kutumia busara ya kusitisha maandamano, polisi nao timizeni wajibu wenu kulinda umma utakaokuwepo kesho.
 
aman itawale ndo ata hayo mabadiliko tutayafikia wapinzan hatuna shida kbs ni uoga tu wa serikali magamba,
 
Maandamano Yako Pale Pale.
:behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa:
 
Hongereni vyama vya upinzani kwa kukubali kutofanya maandamano hapo kesho na hivyo mkutano ndiyo utakaofanyika saa nane mchana. Katika hili nimefurahi na kuanza kuwaamini kweli wana nia ya dhati na katiba mpya na si harakati za katiba mpya zilete mauaji ya watz.mungu ibariki tz.

Naskia siku hizi Nape amewaongezea dau,haya kachukue malipo yako kisha tujumuike wote jangwani baadae.
 
unaongea kama nani kama mpinga ,mwema,kova au mpiga tunguli nchimbi, ebu tupe sources mi nimemis maandamano tokea nilipoyaacha chuo kwa shinikizo la bi mkubwa.
 
CHADEMA, wananchi hawataki vurugu na fujo bali wanataka kusikia sera zenu.
 
unaongea kama nani kama mpinga ,mwema,kova au mpiga tunguli nchimbi, ebu tupe sources mi nimemis maandamano tokea nilipoyaacha chuo kwa shinikizo la bi mkubwa.

Kaandamane mtaa wa Ufipa, Kinondoni.
 
Invisible pls mabandiko yanamna hii yamezidi liwepo moja tu la live.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom