Recent content by vipanda thamani

  1. V

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Malipo ni hapa hapa ila matajiri wa zimbabwe vifo vyap ni ajali na wanaondoka vijana na malizao walivyozipata huwa ni giza nene.
  2. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    https://www.instagram.com/stories/tellabeauty_tz/3996977560050763155?utm_source=ig_story_item_share&stkn=MWE2aG9ia3EyYnM3Zw==
  3. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mbona link ipo humu humu ckumbuki Post ya ngapi ila fuatilianposta za insider kuna post moja ametuma link ya instagram ya duka la nguo kama kuna mdau anajua nimposta gani atuwekee ila nitaicheki oia
  4. V

    JamiiForums Tanzania Tanzania na uhuru wa Palestine inatusaidia nini !

    Yani mtu anapanda ndege tunashida kibao ndani ya nchi anaenda kuongea habari za pakistan? Hv sisi wayz sijui ni nuksi gani hii ya vionhozi wetu... ni heri angeenda Baba levo angeongea kuhusu nchi yake nimesikitika sana sana.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Je Emmanuel Nchimbi atatekwa na kupotezwa kama Polepole?

    Kuna watu wana roho mbaya sijawah ona
  6. V

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwimbaji nguli wa muziki wa Country, Dolly Parton amefariki dunia

    Kaenda kwa rafiki yake
  7. V

    JamiiForums Tanzania Makosa ya kiprotokali katika 'barua ya Nchimbi'

    Kuna wakt inabidi uandikiwe haraka haraka mambo yaendeee
  8. V

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Kuna mtoto wa rais anasafishiwa njia hapa what goes around comes around
  9. V

    JamiiForums Tanzania Logical contradictions zilizopo kwenye kitabu cha Mwanzo cha Biblia ambazo ni uthibitisho tosha kwamba, Biblia ni hadithi na hekaya za kutungwa tu!

    Hakuna unalolijua kwenye Biblia zaid ya mawazo yako dhaifu..uliza swali ujibiwe ndio kujifunza hzo porojo zako hazina maana kabisa
  10. V

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupoteza thamani, ameamua kunitafuta

    SImple kapime dna ya mtoto kama ni wako basi mchukue huyo mwanamke mfanye mkewako alee mtoto maisha yaende ukimuweka ndani atakuheshimu sana na hatakuwa na uwezo wa kukutoroka tena kwa maana ya mapito aliyopitia.
  11. V

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa Abdul akawa na sauti kuliko makamo wa rais na waziri mkuu

    Ni kweli na tumeyataka haya ukiangalia mambo yanavyoenda sasa wasaliti wengi wa magufuli wanakiona cha mtema kuni yani malipo ni hapa hapa ti lisu alishirikiana na wana cm kumsaliti mzee Magu leo hii kimemramba mwenyewe na wengine wengi Tu ni miaka ya kishetani mpaka iishe bas tumekoma sana.
  12. V

    JamiiForums Tanzania Zawadi kwa Diamond na Zuchu ni utakatishaji fedha. Serikali ipo kimya

    Hao unaofikiri ndio wana sauti ya kukemea cha ajabu ndio wamewapa kuzizungusha hapo sasa ndio utafuraji mwenyewe.
  13. V

    JamiiForums Tanzania Unatafuta wasaidizi wa Kazi, jitahidi upate mrundi at your own risk

    RWanda congo na burundi hizi nchi uchawi na kutoana roho no vitu vyepesi sana kwao yani haviwaumi kabisa hatar sana hawa watu.
  14. V

    JamiiForums Tanzania Mangungu ni pandikizi la Yanga ndani ya Simba, shtukeni

    Hako kababu na kasemaji hao ni Yanga damu simba itafungwa milele hado hatoke hao
  15. V

    JamiiForums Tanzania FT | Yanga SC 1-0 Simba SC | Ngao ya Jamii | New Amaan Complex | 12.08.2026 | Yanga mabingwa

    NILISEMAGA MIAKA KADHAA NITARUDI SIMBA KILE KIZEE NA KISEMAJINM WAKIONDOKA SIMBA HAO NDIO WANAOFUNGISHA SIMBA.
Back
Top Bottom