Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Muda wa rais kukaa madarakani uwe term 3, na kila term iwe na miaka mitano, so maximum time iwe ni miaka 15.

Na sio term 2 kama sasa.

Hii itaepusha watu kuanza kujiandaa kumrithi rais mapema sana.

Pia watu watakuwa serious kuchagua marais wazuri, kwa sababu marais wanaweza kukaa madarakani kwa miaka 15.

Inatakiwa mbunge mmoja atoe hii hoja bungeni.

Hatutaki
 
Kwa nini isiwe term 2 kila term miaka 7?
 
Wazanzibari naona wamechachama kuwasema huko Watanganyika,
Kwa nini si wapeleke mswada Kwenye Baraza lao la wawakilishi waanze mchakato wa kupiga kura wa kujitoa kuliko kelele na mipasho mingi huku bado wapo kwenye Muungano?
Kingine Tanganyika tunafaidika kwani kuwa na muungano na hawa wasio na shukurani?
 
Muda wa rais kukaa madarakani uwe term 3, na kila term iwe na miaka mitano, so maximum time iwe ni miaka 15.

Na sio term 2 kama sasa.

Hii itaepusha watu kuanza kujiandaa kumrithi rais mapema sana.

Pia watu watakuwa serious kuchagua marais wazuri, kwa sababu marais wanaweza kukaa madarakani kwa miaka 15.

Inatakiwa mbunge mmoja atoe hii hoja bungeni.
Crap
 
Pale J Epstein wa Mchongo wa Nyikani na genge lake wanapoendelea kuwa vibaraka wa rasilimali za taifa,

Wakiwa wanajidai kuwa Elite wengi wa nchi ya nyikani wako upande wao,

wanapokuwa wameshindwa kuendesha nchi kisomi ili kuakisi hicho wanachokisema,

Wanachukua mwelekeo ambao ni zaidi ya yule waliyekuwa wakimbeza na kumdharau,
Hawa ni Elite kweli au ni wajinga fulani ambao wana vitu vya thamani kwenye taifa lao hawajui kuvisimamia kwa ajili ya taifa lao na wao wakanufaika wakiwa nafsi zao zime relax,
Kinyume chake hata hao mabwana wao nyuma ya pazia wanawaona majuha fulani, raia nao wanawaona ni zaidi ya mashetani, Mungu anawashangaa
 
1. "GSM* au "74KA"
Kwamba limetoka agizo 7/7 watu wanakula SMG au AK47 au siyo?
Hiki kiburi kinaenda kuwafikisha kwenye anguko lao.
Too much hubris has always led to the downfall of the great empires.
The empire now is CCM and it's few established members, the cabals. The oligarchs and rats will jump out of sinking ship.
 
Back
Top Bottom