Recent content by vijendra

  1. V

    Kazi kwa Madereva

    Nahitaj mkuu nipo kamili kwa vigezo vyote ulivyotaja namba zngu 0713556815
  2. V

    Natafuta kaz ya udereva

    Habari natafuta kazi ya udereva elimu yangu ni kidato cha nne vile vile nina cheti cha NIT advance drive grade 2, driving lesence class E namba zangu 0713556815 Asante.
  3. V

    Dereva anahitajika haraka

    Ok mimi nahitaj nipo chanika nina class E lesen yng. ahsante.
  4. V

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Hv kwani mtu akienda kwa njia ya baba kanituma wew inakukera nin hasa acha kila mtu abebe msalaba wake kivyake vyake.
  5. V

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Naomba kuuliza je ni vitu gani muhimu ambavyo mtu anaweza kwenda navyo huko?
  6. V

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Yani humu kuna mijitu kazi yao kukatisha watu tamaa wamepewa chanzo cha habari lakn bado tu wanaendeleza ujinga wao ooh mara kulima mara hv c muwaachie wenyewe km anakwenda kulima anakwenda yeye wew inakuhusu nin sasa..!
  7. V

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Wataenda tu ila kwa tabu xana.
  8. V

    Wasichana 10 wanahitajika kwa ajili ya kuuza maduka(Nguo,Vipodozi,Simu,nafaka na Viatu)

    Sasa kam mtu hana picha au phone yake haina uwezo wa whatsap afanyaje na anahitaj kazi.
  9. V

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Ahsante ndugu sly felx ila nimesikia kuwa jeshi linajitegemea kivyake haiusiani na mambo hayo ya uhakiki.. nawakilisha tu.
  10. V

    Are you a driver? we are hiring!

    Chakuombea maji sio.
  11. V

    Natafuta kazi ya udereva

    Daah aisee km nafasi zikitokea naomba xna ndugu zangu nina lesen class E.ahsante.
  12. V

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Mungu kaumba majini mashetan na watu pia, xaxa humu ndani inaonekana kuna mashetani maana kazi yao kuwaharibia watu na kupotosha malengo yao km wew shetani upo humu tokaaa ni uachie watu waendelee,kusoma utasoma wew bhana mbona hata panya nao wamesoma kaz yao kutegua mabomu jee ww mwenzang na...
  13. V

    Nafasi za kazi

    Mwisho wa maombi lin?
  14. V

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Tuendeleeni kujifarij na kuchangamsha uzi huu..
  15. V

    Nafasi za kazi

    Ok nimekupata mkuu asante.
Back
Top Bottom