syl_felix
Member
- Sep 21, 2016
- 61
- 52
Yah mi pia nlifanya usahili nlipita fresh ila nashangaa hakuna updates zozote hadi sasaKitambo sana walitoa na usahili ushafanyika !!
Yah mi pia nlifanya usahili nlipita fresh ila nashangaa hakuna updates zozote hadi sasaKitambo sana walitoa na usahili ushafanyika !!
Hata mm nilifankiwa kupata kupitia M.U.S.T pia bado sijapata update yoyote mpaka sasa !!!Yah mi pia nlifanya usahili nlipita fresh ila nashangaa hakuna updates zozote hadi sasa
Mi na JKT nlifanya usahili nkapita fresh xo npo njia panda jwtz bado hawajatoa updates ila jkt update teyariHata mm nilifankiwa kupata kupitia M.U.S.T pia bado sijapata update yoyote mpaka sasa !!!
Dah the same mkuu!!!!! tusikilizie tu wapi kitanuka kokote kambi mkuu!!!!Mi na JKT nlifanya usahili nkapita fresh xo npo njia panda jwtz bado hawajatoa updates ila jkt update teyari
Me,naulizia_majina_ya_waliochaguliwa.Wanafunzi wanaomaliza A level hutakiwa kujiunga JKT kwa mujibu, lakini ikiwa muda anaotakiwa kujiunga utagongana na muda wa kuingia chuoni anaweza kuahirisha kujiunga JKT na kuendelea na masomo.
Akimaliza masomo atatakiwa kujiunga na JKT as a compensation kwa kusubiria utaratibu utakaotangazwa, kwa mwaka 2013 taarifa ya huo utaratibu ilitakiwa itoke mwaka huu mwanzoni.
Nahisi hapa umeelewa sasa.
labda sijaelewa ila kwa uelewa wangu wa swali lako jibu ni kwamba majina yakishatoka tangu mwezi wa saba kutokana na mkoa usika kwasabau usaili ulifanyika kwa kila mkoa usikaMe,naulizia_majina_ya_waliochaguliwa.
Kwenda_jkt_kwa_kujitolea.
Nataka_nimchekie_dogo.
Yupo_shule_now.
Me,naulizia_majina_ya_waliochaguliwa.
Kwenda_jkt_kwa_kujitolea.
Nataka_nimchekie_dogo.
Yupo_shule_now.
Socks pair mbili zile nzitoNaomba kuuliza je ni vitu gani muhimu ambavyo mtu anaweza kwenda navyo huko?
Mtaanza na 4, 8, 16, 24, 32, 48 zote mtapiga route march na cross country. Kwa lugha nyingine mnaanza kuzitembea then hizo hizo mnakuja kuzikimbia. Kaza butihiv ni km ngapi kwa siku watu wanakimbia mkiingia hinachukua mda gan mpaka muanze koz
Haya yangu macho tuuWewe unasema usiyoyajua, unaongea ya mitaani.