Dereva anahitajika haraka

Dereva anahitajika haraka

Habarini,
Dereva anatafutwa,awe mkazi wa Dar es Salaam na mwenye kuyajua fika mazingira ya mji huu.
Jukumu lake ni kumpekeka mtu kazini na kumrudisha,lakini pia kutimiza majukumu yake kadri anatavyoagizwa ndani wiki nzima.
SIFA ZA DEREVA;
~Awe mwaminifu na mkweli na aipende kazi/ofisi yake
~Awe na leseni inayotumika na inayokubalika kwa mujibu wa sheria za nchi.
~Awe na uzoefu wa kutosha wa muda mrefu barabarani.
~Asiwe mtumiaji wa kilevi chochote wakati wa kazi.
~Asiwe mbabaishaji na mjanjamjanja/ujuaji usio na maana
~Mwajiri anaishi Chanika,hivyo ni vema dereva nae akawa mkazi wa hapo au hata eneo jirani ili kuwahi ratiba yake ya kazi bila kuchelewa.
NB: ~Ratiba ya kazi inaanza aksubuhi sana na kumalizika usiku.
NJOO PM NA CV YAKO.

Mshahara: 350.000/-400.000/
Karibuni.
mkuu naomba nichk kipitia mamba 0784270389kama bado hujampata
 
Bado ila naprefer dereva awe jirani na mwajiri wake ili iwe rahisi kwake kutimiza majukumu yake ,itakuwa poa akaishi Chanika au eneo jirani.
 
Naomba unipigie mkuu kwa no 0719497524 ili tujadiliane
Nitajitahidi ila ungenisaidia kujua mawili matatu juu ya uzoefu na wapi unapatikana ingenisaidia kwani nahitaji zaidi mtu aliye karibu na mwajiri
 
Habarini,
Dereva anatafutwa,awe mkazi wa Dar es Salaam na mwenye kuyajua fika mazingira ya mji huu.
Jukumu lake ni kumpekeka mtu kazini na kumrudisha,lakini pia kutimiza majukumu yake kadri anatavyoagizwa ndani wiki nzima.
SIFA ZA DEREVA;
~Awe mwaminifu na mkweli na aipende kazi/ofisi yake
~Awe na leseni inayotumika na inayokubalika kwa mujibu wa sheria za nchi.
~Awe na uzoefu wa kutosha wa muda mrefu barabarani.
~Asiwe mtumiaji wa kilevi chochote wakati wa kazi.
~Asiwe mbabaishaji na mjanjamjanja/ujuaji usio na maana
~Mwajiri anaishi Chanika,hivyo ni vema dereva nae akawa mkazi wa hapo au hata eneo jirani ili kuwahi ratiba yake ya kazi bila kuchelewa.
NB: ~Ratiba ya kazi inaanza aksubuhi sana na kumalizika usiku.
NJOO PM NA CV YAKO.

Mshahara: 350.000/-400.000/
Karibuni.
 
Mmeambiwa nendeni PM na CV zenu ila mpo busy tu hapa. I hope mtafua driver keshapima uelewa wa baadhi yenu hapahapa.
 
0716887938 nipo pugu kajiungeni Nina lessen class E

0756222744. Napatikana chanika zingiziwa.

0782790710 nipo buyuni

nipigie tuongee mkuu

mkuu naomba nichk kipitia mamba 0784270389kama bado hujampata

Npo temeke ila nina uhakika wa kuwah nina uzoefu wa kutosha pia nmeptia VETA na leseni yngu A A2 B D E
Nafundisha kumfuata mtu pm gharama ni shilingi elfu mbili.

Nafundisha kum-quote mtu kwa gharama ya shilingi elfu moja.

Naandika CV kwa shilingi 2000 kwa ukurasa mmoja.

Niachie namba yako hapa.
 
Kampuni au kazi zako una deal na nn mkuu... Weka wazi hiyo office yako ni ya nn, nisije kuendesha jambazi, maana nayo ni office pia.
 
Habarini,
Dereva anatafutwa,awe mkazi wa Dar es Salaam na mwenye kuyajua fika mazingira ya mji huu.
Jukumu lake ni kumpekeka mtu kazini na kumrudisha,lakini pia kutimiza majukumu yake kadri anatavyoagizwa ndani wiki nzima.
SIFA ZA DEREVA;
~Awe mwaminifu na mkweli na aipende kazi/ofisi yake
~Awe na leseni inayotumika na inayokubalika kwa mujibu wa sheria za nchi.
~Awe na uzoefu wa kutosha wa muda mrefu barabarani.
~Asiwe mtumiaji wa kilevi chochote wakati wa kazi.
~Asiwe mbabaishaji na mjanjamjanja/ujuaji usio na maana
~Mwajiri anaishi Chanika,hivyo ni vema dereva nae akawa mkazi wa hapo au hata eneo jirani ili kuwahi ratiba yake ya kazi bila kuchelewa.
NB: ~Ratiba ya kazi inaanza aksubuhi sana na kumalizika usiku.
NJOO PM NA CV YAKO.

Mshahara: 350.000/-400.000/
Karibuni.
Mkuu nimekutumia document plz wasiliana nami nipo vingunguti umbali au ukaribu nashauri isiwe ndio haswa kigezo cha kumpata lakini pia chukua hata wanne Waite kwa mahojiano apatikane atakae kidhi .asante
 
Habarini,
Dereva anatafutwa,awe mkazi wa Dar es Salaam na mwenye kuyajua fika mazingira ya mji huu.
Jukumu lake ni kumpekeka mtu kazini na kumrudisha,lakini pia kutimiza majukumu yake kadri anatavyoagizwa ndani wiki nzima.
SIFA ZA DEREVA;
~Awe mwaminifu na mkweli na aipende kazi/ofisi yake
~Awe na leseni inayotumika na inayokubalika kwa mujibu wa sheria za nchi.
~Awe na uzoefu wa kutosha wa muda mrefu barabarani.
~Asiwe mtumiaji wa kilevi chochote wakati wa kazi.
~Asiwe mbabaishaji na mjanjamjanja/ujuaji usio na maana
~Mwajiri anaishi Chanika,hivyo ni vema dereva nae akawa mkazi wa hapo au hata eneo jirani ili kuwahi ratiba yake ya kazi bila kuchelewa.
NB: ~Ratiba ya kazi inaanza aksubuhi sana na kumalizika usiku.
NJOO PM NA CV YAKO.

Mshahara: 350.000/-400.000/
Karibuni.
Kaka naomba unipigie please Nina shida na hiyo kazi..Nina uzoefu wa miaka mitatu kwenye kazi hiyo 0758659261 asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom