Ha ha field marshalNIMEAMUA KUJITEUA MIMI NDIO MSHAURI NA MSIMAMIZI MKUU KWENYE HUU UZI....
ambaye hataki akae pembeni...
Ha ha field marshalNIMEAMUA KUJITEUA MIMI NDIO MSHAURI NA MSIMAMIZI MKUU KWENYE HUU UZI....
ambaye hataki akae pembeni...
Binafsi nimekubali lakini Nina swali,kwanini umejichagua wewe?zipi Sifa zinazokufanya uwe mshauri humu?NIMEAMUA KUJITEUA MIMI NDIO MSHAURI NA MSIMAMIZI MKUU KWENYE HUU UZI....
ambaye hataki akae pembeni...
Asante kwa swali zuri,kumbuka sijajichagua ila NIMEJITEUA sbb naona watu wanavuka mipaka kwakuanza kukejeli jeshi vilevile nina uwezo wa kuongoza na ninafahamu watu wa kwenye uzi huu wanahitaji niniBinafsi nimekubali lakini Nina swali,kwanini umejichagua wewe?zipi Sifa zinazokufanya uwe mshauri humu?
Sawa kiongoziAsante kwa swali zuri,kumbuka sijajichagua ila NIMEJITEUA sbb naona watu wanavuka mipaka kwakuanza kukejeli jeshi vilevile nina uwezo wa kuongoza na ninafahamu watu wa kwenye uzi huu wanahitaji nini
jeshi class kama kawa ila mnakaa chini juani au kwenye mwembe unafundishwa UP,MK,SIRAHA,SHERIA ZA KIJESHI NK hii jkt ila chuo cha polisi ndoo unaingia darasani kula kitabu unafundishwa criminal procedures,criminal investigation,Law of evidence,police responsibility and duties,communication skills ,traffic control ,weapons training nk tpdf the same class kama kawaWadau naomba kuuliza ivi jeshin kuna masomo ya darasan? Na kama hapo je huwa kuna majaribio ya kuandika?test,mitihani ya kuandika?
OK poa nashukuru kunifungua macho.jeshi class kama kawa ila mnakaa chini juani au kwenye mwembe unafundishwa UP,MK,SIRAHA,SHERIA ZA KIJESHI NK hii jkt ila chuo cha polisi ndoo unaingia darasani kula kitabu unafundishwa criminal procedures,criminal investigation,Law of evidence,police responsibility and duties,communication skills ,traffic control ,weapons training nk tpdf the same class kama kawa
asante sana kwakumuelimisha kijana ,jeshi class kama kawa ila mnakaa chini juani au kwenye mwembe unafundishwa UP,MK,SIRAHA,SHERIA ZA KIJESHI NK hii jkt ila chuo cha polisi ndoo unaingia darasani kula kitabu unafundishwa criminal procedures,criminal investigation,Law of evidence,police responsibility and duties,communication skills ,traffic control ,weapons training nk tpdf the same class kama kawa
Wadau naomba kuuliza ivi jeshin kuna masomo ya darasan? Na kama hapo je huwa kuna majaribio ya kuandika?test,mitihani ya kuandika?
NimekupataNaongezea, jeshini ukiwa darasani unatakiwa uwe makini sana mana unaweza kukuosa muda wa prepo. Mitihani ipo
[emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] shona tulia waziDuh January hyooo. Kweli jeshi ni uvumilivu na inabidy tuendelee kuwa wavumilivu hady apo 2017
Wapo radhi iende shule wakati wana magunia ya pesa ndani.Iv vjana wa Tz akili zenu huwa mnaziweka wapi katika kufikili.... Wenzenu wanashindana technological innovations nyinyi mnatambiana GPA....... Pumba kabisaaaa.....
Hapa Mkuu sasa umejibu kikamanda.jeshi class kama kawa ila mnakaa chini juani au kwenye mwembe unafundishwa UP,MK,SIRAHA,SHERIA ZA KIJESHI NK hii jkt ila chuo cha polisi ndoo unaingia darasani kula kitabu unafundishwa criminal procedures,criminal investigation,Law of evidence,police responsibility and duties,communication skills ,traffic control ,weapons training nk tpdf the same class kama kawa
Kwenda wapy.syl_felimoost: 18039657 said:Tunaondoka ndani ya mwezi huu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] JAKATAKwenda wapy.