Ok nimekupata mkuu asante.
+971523328490OK,naombeni deal la kufanya kaz katika sekta ya Graphics design( mabango, logo, business card nk.....) Kama mko interested tuwasiliane kwa CMU namb,0765 680 241
View attachment 415810
Boss mkubwa kabisa...unayelipa wafanyakaxi 50k per day..munatuma cv hapa??? Any way...napita tu boss.I have already send my email. God bless you all
Kweli watu wavivu kusoma, mnauliza deadline wakati kaandika kwenye tangazo, hebu rudini mkasome tena tangazo.mkuu hebu pitia email yako mana tumekutumia mesegi nyingi tu...na watu wanauliza deadline lini.
Pita tu mana jambo usilolijua siku zote ni sawa na usiku wa giza nene...ndo mana umekimbilia hapa kupayuka unafikri unamfaidisha nani, lait kama ungeliuliza kistaarabu au kuja pm ningekusaidia majibu yako, ila nakupa pole kwa kupoteza mda na kufatilia thread za mtu mmoja mmoja kujua alipost nini siku gan na alipost kuhusu nini, sasa kwasababu umekuja kishari na kinafiki nafiki basi ntakuacha tu upite kama ulivosema mana swezag ku argue na mtu asie na akili hata ya 1% ya kuuliza kistaarabu ajibiwe. Naanza kuamini utafiti wa wizara ya afya kua watz wengi ni vichaa.Boss mkubwa kabisa...unayelipa wafanyakaxi 50k per day..munatuma cv hapa??? Any way...napita tu boss.
F ya hesabu olevo inatafuna wengiDah, F ya Mathe form IV imenikosesha kazi, vipi Mkuu huwezi nifikiria hapo? Advance nilifanya vizuri tu Mathematicsí ½í¸í ½í¸í ½í¸
Hahahaaaa huwiii! Kwa hiyo maneno yote hayo ndio kukaa kimya? Hahaha sawa! Lakini kuna unafiki gani hapo? Au wapi nimekosea? Au nilichoandika sicho kilichotokea?Pita tu mana jambo usilolijua siku zote ni sawa na usiku wa giza nene...ndo mana umekimbilia hapa kupayuka unafikri unamfaidisha nani, lait kama ungeliuliza kistaarabu au kuja pm ningekusaidia majibu yako, ila nakupa pole kwa kupoteza mda na kufatilia thread za mtu mmoja mmoja kujua alipost nini siku gan na alipost kuhusu nini, sasa kwasababu umekuja kishari na kinafiki nafiki basi ntakuacha tu upite kama ulivosema mana swezag ku argue na mtu asie na akili hata ya 1% ya kuuliza kistaarabu ajibiwe. Naanza kuamini utafiti wa wizara ya afya kua watz wengi ni vichaa.
Kweli mkuu!Wakuu mbona mnaanza kulumbana? Haina faida yoyote bora mpotezeane tu kwa amani
Habari kaka nilitaka nikuulize kabla sijaaply, mimi nna bachelor ya arts with education..naweza kuapply nafas ya sales au secretary sababu naamin zote naweza kuzimudu..asanteKEVIN ISAYA COMPANY Inayoingiza bidhaa na kusambaza, imefungua ofisi yake TUNGI MWISHO, KIGAMBONI DSM.
inatangaza nafasi za kazi zifuatazo
1. Afisa masoko 4.
KAZI
kufanya mauzo na kutafta masoko,
kutangaza bidhaa na kuelewesha wateja.
SIFA NA UZOEFU
-Elimu ya diploma na kuendelea
-Uzoefu a miaka miwili katika mauzo
-Uwezo wa kutimiza lengo la mauzo kwa mwezi,
mshahara ;400,000. kwa mwezi
2. Mtemdaji Mkuu.
KAZI
-upokeaji wa mizigo iliyotumwa na kusaini.
-kuwaongoza maafisa masoko au mauzo katika kutimiza lengo lao,
-kutoa maelezo ya kina kwa wateja kuhusu ufafanuzi wa zaidi utakao itajika,
-kupokea order zilizoletwa na afisa mauzo na kuzijaza kwenye system
-kuweka na kutoa hela bank,
-Kuhakiki malipo yaliyofanywa na wateja
-kupokea malipo kutoka kwa wateja na kuweka bank
-kuandaa repoti na kuituma kwa Meneja,
ELIMU NA UZOEFU
-elimu ya chuo kikuu katika fani yeyote.
-uzoefu wa kazi yeyote kwa miaka miwili.
-hasiwe na F ya HESABU form four
MSHAHARA ; 600,000/
3.Secretary 1.
- Kuchapa kazi zote
-kutunza ma faili ya wateja
- kupokea simu za wateja na kuwajibu
ELIMU NA UZOEFU
-mwenye uzoefu katika fani hiyo kwa miaka miwili,
-Elimu ya diploma ma kuendelea
Mshahara; 300,000
4. delivery manager
KAZI
- kufunga na kupeleka mizigo ambayo mizigo yao imefika
- kupakua mizigo kwenye gari na kupakia kwa inayofika na kuondoka,
ELIMU NA UZOEFU
-leseni ya gari
-Elimu kidato cha nne na kuendelea
mshahara 300,000.
jinsi ya kufanya maombi.
Tuma cv na copy ya vyeti KWEYE kevinmulisa@hotmail.com
kwa maelezo zaidi
WASILIANA NA MR DANSTAN DANIEL .0756593006
MUHIMU;
Hakuna rushwa , kazi unaajiliwa kulingana na uwezo wako.
kaa tiyari kufanya kazi.
Ukigundulika umefoji cv au cheti utapelekwa kutunzwa sehem husika .
Dedline tarehe 23.10.2016