Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

za jioni wakuu mm nina ndoto ya kuwa askari lakini sijajua ni vitu gani huwa wanaangalia katika usaili, naomba mnieleweshe ili nijue kwamba nawza itimiza ndoto yangu
Yaan physically na afya
Kujiunga na jkt kwanza unatakiwa uwe na damu salama,sukari mwilini iwe sawa,presha iwe sawa,usiwe na ulemavu wowote,usiwe umewahi kufanyiwa oparesheni kubwa zile,usiwe umewahi kuzaa mtoto,MIGUU LAZIMA IWE NA UVUNGU.
 
Depo ni mwakani tuzidi tusubiri tuu kama IPO IPO mpka uhakiki uishe hapo mjue safari itaanza maukurutu
Waziii
 
Back
Top Bottom