Habari ndugu wanaJF, naomba msaada kwenye tuta niweze kufahamishwa shule za serikali za sekondari za wasichana tupu (single sex) ambazo zina wastani mzuri na andelevu kwa muda mrefu nchini
Naomba kuwasilisha
Asante.
Habari wakuu, nina king'amuzi cha dish cha StarTimes na nahitaji mtu ambaye ana king'amuzi cha Azam tubadilishane.
Kwa aliye tayari anicheki kwa namba hii 0764454071
Napatikana Shekilango, Dar es salaam
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.