jf bwana hahaha kila mtu maisha borahahah yaani mtu akupe Azam kisimbuzi bora kabisa afu we umpe kopo la startimes labda awe chizi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji2]hapana mkuu jamaa anataka abadilishane azam na startimes kitu ambacho ni kigumu labda aongeze na pesa
😂 😂 😂 😂 😂 aiseehahah yaani mtu akupe Azam kisimbuzi bora kabisa afu we umpe kopo la startimes labda awe chizi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji2]hapana mkuu jamaa anataka abadilishane azam na startimes kitu ambacho ni kigumu labda aongeze na pesa
alichofanya ni sawa na kubadilishana IST na HARRIER
Sent using Jamii Forums mobile app