Hio project ya depopulation inasimamiwa na nani, naomba kujuzwaI agree with you. Na naamini hii project ya depopulation will make sense. Kwa Sababu unazaa then end of the day unaanza kulia lia na kuumia.
Covid 19 was a mission, na mission gets closer to its conclusion.
Uwe Saint. Pope, prophet you name it , death is painful thing to accept.
Ni unafiki wetu binaadam tu, Mungu this Mungu that . Lakini hakuna anaetamani KIFO katika njia yoyote.
Kama ww you love God, na unaamini maisha ya huko ni bora zaid ya hapa, why don’t you die now? Why do we hate death while we know that death is the only way to go to heaven.
Kama unaogopa kifo huku ukijiona ww ni mtumishi wa Mungu , basi jua Wewe ni mamluki , ni njaa tu zinakusumbua na fear of unknown.
No one wants to die, even those who want to go to Heaven don’t’ wanna die to get there... what the hell ! Huu ni UNAFIKI WA ASILI
Kuwa na hurumaComment kwa kingereza hapa, wacha blah blah Mamluki. Ni rahisi sana Wewe ku comment in English kufunga mjadala . Wewe unajua English kitu ambacho siamini na ninaamini kabisa huna exposure , so nimekuomba mawasiliano yangu na wewe hapa yawe kwa English . I am sure huna hiyo Confidence.
Andika hapa kwa kingereza tujue level yako. Kumbuka wewe ni mtanzania,
Kwasababu sijavutiwa na baadhi ya imani zao.Kwanini Wewe sio Muislam ?
A lot of my time hua nasoma vitabu vyao but i'm not interested with what they believeWhy hujavutiwa ? Did you take sometimes to
Understand their faith ?
Ndugu yangu,
Unashida Kichwani wewe si bure.Mamluki Comment kwa kwa English; Acha kudhihirisha ushamba wako
"You won't feel pain " umeshawahi ku-experience kifo?Pole. It is the Naked truth . The good thing is you won’t feel any pain, the people you left will ....
Nikifa tumali twangu..wapewe watoto wahitaji.
Nizikwe katika uwanja wa nyumbani kwetu au hata makaburi ya chan'gombe.. sitaki kuzikwa kijijini kwa baba.. sitaki yanikute Kama yalivyo mkuta marehemu Mama yangu maiti yake ilivyosuswa kuzikwa na upande wa Mume wake.
Ndugu yangu,
Vipi kuhusu hiyo chanjo? Ni ya kuiamini?
Kwa kweli alichokisema raisi ni kama tahadhari, kwa namna wala sio kuikata chanjo moja kwa moja, ata hao wazalishaji taarifa imewafikia wa tengeneze kinga bora,Ifanyiwe Feasibility study kabla ya kuanza kutumiwa. Tunataasisi mbalimbali za ubora na Medical laboratory analysis
Kwa kukusaidia, Chanjo Maana yake ni Virus vya Corona vilivyopunguzwa nguvu vinaingizwa kwenye mwili wako ili mwili wako ukazalishe kinga ya mwili ambayo itakuwa ni long term protection.
Wakati mwingine kwa watu wengine vaccine ina react, yaani Yule Virus alieingizwa in your body anaenda kuwa strong na kuanza kuwa harmful. Kama ile Vaccine ya Influenza kwa ajili ya mafua, walikufa watu wengi waliochomwa hasa huko Africa Magharibi. Kwa Sababu yule Virus alikuwa na tabia ya kubadilika ndani ya miili ya baadhi ya watu kitu ambacho Manufacture, Na Medical Researchers hawakujua. Baada ya kutokea Hayo ndio wakaanza kufanya maboresho. My Prof. Pia alikufa kwa Influenza Vaccine . Baada ya kuchomwa tu akapata Shock Anaphylactic and she died.
Naungana na Rais JPM ya kwamba, kwa kuwa Hii ni Vaccine Mpya na hatujui Adverse Reaction na hakuna post surveillance yoyote iliyofanyika, tusikimbilie bali tuendelee kuchukua tahadhari kwanza mpaka pale itakapothibitika kitaalamu kuwa haina madhara yoyote.
"Do you afraid....."
"I am afraiding....."
Hiki Kiingereza cha hivi wenzetu mlifundishwa na walimu wa wapi?
ambao walifundishwa na nani aliefundishwa na nani na wapi?
Lazima udhaifu huu ilianzia chini ukalelewa.
Argrrrrr!!! kichefuchefu😕


Ninakuomba tena mawasiliano yangu na wewe kwa English hapa. Kama hilo jibu unalotoa libadili kwa English tusonge mbele . Mbona maisha ni marahisi Mjomba. Kumbuka wewe ni MTZ