Recent content by vicenttemu

  1. V

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira mbona hana utulivu wa akili? Ni kama amedata hivi na kauli ya "No Reform, No Election".

    Duh... tunawatakia mapambano mema huko majukwaani.
  2. V

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa clouds afanywa kitu mbaya mkwajuni!!!

    Poleni huko Dar, mkifika kituoni nyoshen mikono juu mmshikilia cm zenu na wallet pia, hawataweza kuwavalisha tena ndoo, labda waje na mapipa sasa. Try ths, its not a joke. all the best
  3. V

    JamiiForums Tanzania Huu uzembe hadi lini?

    Mgonjwa kafanyiwa upasuaji, mkasi ukasahaulika mwilini. Taarifa zinasema mgonjwa amefariki. Mwaka juzi mwinine alipasuliwa kichwa badala ya mguu the same hospital! Inasikitisha sana. Najiuliza hivi kweli hospital zetu zina wataalamu wa ukweli au nimnini. ..... Uzembe huu na mwingine kama hiyo...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    La kufanya ni kuishinikiza srkl kutatua hili swala, pesa ipo, mbona inaweza kulipa b185 kwa kampun isiyojulikana mmiliki wake. Cjui ni mizimu inalipwa!
  5. V

    JamiiForums Tanzania Internet Cafe zaifungia Jamii Forum

    Ths is amazing! Jf sio gazeti useme utalifungia! Hiyo café ni ya fisadi, so limedhan kuwa watz wanaingia hapo kwako kutoa maomi yao. Shame upon them?
  6. V

    JamiiForums Tanzania Chenge alivyotinga kwa pilato leo katika pich

    ana umaarufu gani huyu. Watz si hawana mambo ya kufanya, watashinda hapo na njaa, na hata hawajanywa chai. It's Stupidity!
  7. V

    JamiiForums Tanzania Kikwete ahudhuria uzinduzi wa kaburi la kifahari la mke wa Bingu Mutharika

    Kwani anajua kuwa Watz wanamatatizo? Anasaidia wa2 kama ra, el, ym, somaiyah, to mention few! Kula raha, unaongoza Maj...ha yasioweza kuuliza chochote hata uwalaze njaa kwao sawa tu.
  8. V

    JamiiForums Tanzania This is Rostam I know... The Story Behind the Man

    All the best Tz!!!!!
  9. V

    JamiiForums Tanzania This is Rostam I know... The Story Behind the Man

    Hata awe vp, atakufa tu siku moja. Tutaöna kama ataondoka na hao mapesa. Kila kona amekamata, watz wanakodoa macho tu na kelele zisizokuwa na maana coz tunaongea na hakuna hatua tunazochukua, maana yake nini sara
  10. V

    JamiiForums Tanzania TAMKO la wanafunzi UDOM kuhusu DOWANS SAGA!!

    Wasivamie mambo. Kama sio kauli yao basi waendelee kusoma kwa bidii manake tutahitaji michango yao kujenga jamii shupavu
  11. V

    JamiiForums Tanzania Kuirudisha CCM madarakani ni maafa ~ Dr Slaa

    Wanalalamika kabla hata RA hajachukua 185bn. Wait and see, they will cry blood tears and no body will bother 2 help till they abondon chama twawala. Wacha walie machozi yatiririke hadi magogoni, labda watasaidiwa.
  12. V

    JamiiForums Tanzania Namtakia Maisha Marefu Dk. Wilbroad Peter Slaa (PhD)

    Wanaopinga si wamtaje wao? Mtu katoa mawazo yake, mnamtolea lugha chafu. Kila mtu afanye utafiti wake then aje na conclusion juu ya kiongozi anaemkubali. God bless you
  13. V

    JamiiForums Tanzania Rostam Anaweza Kutoa Mlungula Kwa Wamiliki wa WikiLeaks

    Athubutu aene kama hata hiyo taarifa ya kutaka kuwahonga haijewekwa hewani. Akijaribu ndo vema haswa!
  14. V

    JamiiForums Tanzania DOWANS yaibwaga TANESCO; TZ kulipa gharama na adhabu Bil. 185!

    Jesus! Who will save us from this Omen!!? Uzalendo wetu uko wapi wana jf, nchi inabaki kopo. Viongozi tumewapa dhamana kwanini wasipinge hili jamani?
  15. V

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Tanzania official fears for his life!

    Taarifa za mtandao wa wikileaks kuhusu mwenendo wa JK na serikali yake zastahili pongezi coz imetufumbua macho Watz. Naomba pia wamsake mmiliki wa Dowans ili kila kitu kiwe wazi. Eti hata Serikali haimjui mmiliki wa Dowans? Swali ninani atalipwa zile bilion185. Usanii mtupu huu.
Back
Top Bottom