Chenge alivyotinga kwa pilato leo katika pich

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Mhe. mbunge, Andrew Chenge, akiwasili katika Mahakaman ya Kinondoni leo asubuhi kusikiliza hukumu yake. Umati uliokuwa ukifutilia hatima ya Chenge uliokuwepo mahakamani hapo asubuhi.
Chenge akijitapa kiutani kuwa yeye ndiye “Rais wa Afrika” wakati akisubiri kusomewa hukumu. Kulia ni wakili wake, Simon Mponda.
Mke wa Chenge, Tina Chenge, (kulia) na ndugu zake, wakichekelea baada ya hukumu kutolewa.
Chenge akipongezana na mkewe baada ya hukumu.
Mke wa Chenge na ndugu wengine wakihesabu pesa kwa ajili kulipa faini.
Chenge na mkewe wakiondoka mahakamani hapo baada ya kesi kumalizika.

Awali, MBUNGE huyo wa Jimbo la Bariadi (CCM), alitiwa hatiani na Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa makosa manne, mawili yakiwa ya uzembe, mauaji na kuendesha gari lisilokuwa na bima na kuhukumiwa kulipa faini ya shilingi laki saba
baada ya kupatikana na hatia kwa makosa yote au kwenda jela mwaka mmoja
kwa kila kosa. Baada ya hakimu aliyekuwa akiendesha kesi hiyo, Kwey
Lusema, kutoa hukumu hiyo, upande wa mshitakiwa ulijikusanya na kulipa
faini hiyo na kuondoka na ndugu yao.
 
3.jpg
Chenge akijitapa kiutani kuwa yeye ndiye "Rais wa Afrika" wakati akisubiri kusomewa hukumu. Kulia ni wakili wake, Simon Mponda.
 
kweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeli kodi zetu zinatumika wapendavyo kutunyanyasa!.
lakini watu kama hawa wanajisikiaje kuona sheria kwao hazifuati mkondo wake?. wezi wa kuku wanafungwa miaka kibao!, babu seya kubambikiziwa kesi ya kubaka imemgharimu yeye na familia yake jela miaka yake yote atakayopenda mnyazi MUNGU aishi je hii ni sawa?.
 
ipo cku watajaribu kupinda sheria kamakawaida itagoma god is watching them give them tme
 
watu wote hao mahakamani, wengi mno ina maana hawana kazi nyingine ya kufanya zaidi ya kwenda kumtazama fisadi Kenge, ama kweli huyu jamaa ni maarufu
 
ana umaarufu gani huyu. Watz si hawana mambo ya kufanya, watashinda hapo na njaa, na hata hawajanywa chai. It's Stupidity!
 
Back
Top Bottom