Kuirudisha CCM madarakani ni maafa ~ Dr Slaa

Na wasikitike vizuri sana.

Walipokua wanaambiwa na vyama vyote vya upinzani kwamba CCM ya leo sio ile ya akina Philip Mangula kurudi kule nyuma wakawa hawataki kusikia. Chama cha siasa ukiona kinawaundia njama watu waadilifu wote washindwe ama kwenye uteuzi au uchaguzi, ndugu usisubiri sana kuambiwa kitakachofuatia.

Nafuu wanajuta sasa hivi wakati hali yenyewe mbaya bado haijachangaya vizuri. Wafadhili nao wamepata darasa tangu wapelekewe bajeti iliochakachuliwa, wananchi tunalia na Mzee Makame kwa uchaguzi uliochakachuliwa.

Laiti wananchi wa Tanzania wangejuu ni bilioni ngapi zilizotoroshwa nchini kipindi kifupi kabla ya kupiga kura mpaka dhamani ya shilingi ya nchi yetu ikapata kuweweseka!!!!!!!!!!!!!!

Kuanzia kwakani gharama ya maisha ni kama kaa la moto na majani makavu, wananchi tujiaandae nayo mtu asije akasema hakupewa onyo.
 
Wanalalamika kabla hata RA hajachukua 185bn. Wait and see, they will cry blood tears and no body will bother 2 help till they abondon chama twawala. Wacha walie machozi yatiririke hadi magogoni, labda watasaidiwa.
 
hahahahaha! ndg yangu Waberoya unanifurahisha, bt kumbuka mawe ndiyo hayabadiliki bt fikra za mwanadamu hubadilika, cha msingi sisi wenye uelewa kidogo wa mambo yanavyokwenda tuendeleze vugu vugu la mabadiliko bila kuchoka, pengine Mungu atatusikia na madiliko ya kweli kuanzia kwenye fikra za watu mpaka uhalisia wake vikatokea na nchi ikakombolewa. usikate tamaa tutashinda.
 
Karibu sana dodoma.
Ni kweli huku bei za vitu zipo juu. Ila sio maeneo yote yana bei sawa. Sehemu zingine bei ni za kawaida kabisa.
Ungekula chips mayai sh 1500 tu.
 
Nipo upareni kwa maghembe wanajuta hakuna maji wala umeme na simu ya mbunge haipatikani kwa siku hizi!maana ktk mkoa wa kilimanjaro wapare wa same na mwanga ndio wametia aibu kwa kuipa ccm kura za wizi!
 
asante dada Husninyo, kumbe dodoma ni bomba kiasi hiki, sikujua. leo nilibahatika kutembea baadhi ya maeneo kama kule Udom, ni kuzuri kwa kweli, ila nakasirika ugumu wa maisha unavyozidi kutuandama. naamini ukombozi umekaribia. nipo hapa Savana hotel.
 
ndg yangu Bongolala, halii hii lazima ituumize na lazima tufikirie njia mbadala yauwaondoa hawa wanyonyaji madarakani na kupata katiba mpya sio katiba viraka
 
Nipo upareni kwa maghembe wanajuta hakuna maji wala umeme na simu ya mbunge haipatikani kwa siku hizi!maana ktk mkoa wa kilimanjaro wapare wa same na mwanga ndio wametia aibu kwa kuipa ccm kura za wizi!

Mimi nasubiri ile Kigoma kuwa Dubai ya Africa ili nihamie kigoma, na ile subway metro train yetu alioahidi Mkwere hapa Dar ili niachane na daladala:bump:
 
Ndg wana JF,
leoa nipo Dodoma kikazi, niliyoyashuhudia na kuyasikia yamenifanya nifikirie mara mbili, wananchi wengi walipumbazwa au kuibiwa walipoichagua ccm.
Nilienda jioni hii sehemu moja ya kuuza chakula inaitwa WIMPY, ni mgahawa maarufu sana hapa mjini Dodoma kwa chakula. Bei za karibu kila kitu zimepanda, mfano wali nyama toka 2000/2500 mpaka 3000/3500. Soda , maji, na hata bia. Vyote vimepanda. Wananchi wengi wanasikitika sana ccm kuwa madarakani hata kutoa maneno ya laana kwa walioichagua.
Hii ya Dodoma ni kama sample ya hyper Inflation inayotarajiwa kutokea kutokana na kupanda kwa bei ya bidhaa muhimu, sasa mapema wananchi wengi wameanza kulalama hata siku 100 hazijapita. Pamoja na kwamba dodoma imezoeleka kuwa ni ngome ya ccm, mapinduzi makubwa nayaona kwa jinsi wananchi wanavyohamasika. "Rai Yangu, naionya ccm isipobadilika watanzania watawatema soon".
Wadau nawakilisha

Mkuu,

Usiwalaumu walalahoi. Inawezekana miongoni mwao waliichagua CCM lakini CCM haitegemei kura za mlalahoi. CCM wanajua tu kuwa tume ya Uchaguzi itawatangaza washindi hata pale wasipochaguliwa.

Na maisha yanapopanda huwagonga wote, waliopiga kura na wasiopiga kura. Waliopigia CCM, waliopigia CHADEMA, walioipigia CUF, walioipigia NCCR. Baada ya kila uchaguzi, basi jembe na nyundo ya CCM huwa haichaguwi wewe ulikipigia kura chama gani. Au wewe ni mfuasi wa chama gani.
Kwa hiyo, usijifariji wewe na kuwaona hao waliopewa kofia na T-shirt watajijuu.
Tumo kwenye shida pamoja.

Sasa tujitahidi kutoa elimu ya uraia, tuendelee kudai katiba mpya au mabadiliko ya maana.

Ukweli unabakia kuwa ni kikundi cha watu wachache tu ndani ya CCM ndio wanaofaidi jasho la walalahoi.
Kwa hiyo, tusaidiane kuelimisha umma, tutoe elimu ya uraia, watu wajue haki na wajibu wao.
 
nakubaliana na ww Ndonda, nyundo ya ccm haichagui, cha muhimu hapa ni kujitahidi kuwaelimisha raia na kuwashawishi wakubali madiliko. naamini hakuna kinachoshindikana its just a matter of time. mapinduzi ni ya lazima kwa Tanzania yenye maendeleo
 
mnajua mungu ana mbinu nyingi sana atafanya mengi sana ndani ya ccm na watapata yaabu sana na dhambi ya kuwadhulumu watanzania haki yao. Mungu anaju ni jinc gani watu wake wanavyo lalamika
 
Habari ndio hiyo! Poleni sana uchaguzi unakaribia? Mtapata t-shirt nyingine!.
 
wakafie mbele huko wameshiriki kauiweka TZ kwenye hali hii sina huruma na maskini wa TZ
 
Mkuu,

Usiwalaumu walalahoi. Inawezekana miongoni mwao waliichagua CCM lakini CCM haitegemei kura za mlalahoi. CCM wanajua tu kuwa tume ya Uchaguzi itawatangaza washindi hata pale wasipochaguliwa.

Na maisha yanapopanda huwagonga wote, waliopiga kura na wasiopiga kura. Waliopigia CCM, waliopigia CHADEMA, walioipigia CUF, walioipigia NCCR. Baada ya kila uchaguzi, basi jembe na nyundo ya CCM huwa haichaguwi wewe ulikipigia kura chama gani. Au wewe ni mfuasi wa chama gani.
Kwa hiyo, usijifariji wewe na kuwaona hao waliopewa kofia na T-shirt watajijuu.
Tumo kwenye shida pamoja.

Sasa tujitahidi kutoa elimu ya uraia, tuendelee kudai katiba mpya au mabadiliko ya maana.

Ukweli unabakia kuwa ni kikundi cha watu wachache tu ndani ya CCM ndio wanaofaidi jasho la walalahoi.
Kwa hiyo, tusaidiane kuelimisha umma, tutoe elimu ya uraia, watu wajue haki na wajibu wao.

Afadhali sie ambao hatukuchagua sisiemu coz tulijua ni maafa tu, so akili zetu zilishajitune huko.., kazi kwao, kwanza hamjui kuwa hapa sisiem wanajiUNdo campaign? 2015 upinzani hautahitaji nguvu kubwa..!
 
Ndg wana JF,
leoa nipo Dodoma kikazi, niliyoyashuhudia na kuyasikia yamenifanya nifikirie mara mbili, wananchi wengi walipumbazwa au kuibiwa walipoichagua ccm.
Nilienda jioni hii sehemu moja ya kuuza chakula inaitwa WIMPY, ni mgahawa maarufu sana hapa mjini Dodoma kwa chakula. Bei za karibu kila kitu zimepanda, mfano wali nyama toka 2000/2500 mpaka 3000/3500. Soda , maji, na hata bia. Vyote vimepanda. Wananchi wengi wanasikitika sana ccm kuwa madarakani hata kutoa maneno ya laana kwa walioichagua.
Hii ya Dodoma ni kama sample ya hyper Inflation inayotarajiwa kutokea kutokana na kupanda kwa bei ya bidhaa muhimu, sasa mapema wananchi wengi wameanza kulalama hata siku 100 hazijapita. Pamoja na kwamba dodoma imezoeleka kuwa ni ngome ya ccm, mapinduzi makubwa nayaona kwa jinsi wananchi wanavyohamasika. "Rai Yangu, naionya ccm isipobadilika watanzania watawatema soon".
Wadau nawakilisha
Wacha kwanza waipate fresh! Waliongoza kwa kuichagua CCM na sasa wanavuna walichopanda. Na safari za chako ni chako na NK zitapungua!
Safi...japo maumivu. Learn the hard way!
 
tusijindanganye kusema kua upinzani hauhitaji kazi kubwa uchaguzi ujao, msiwasahau watanganyika ni wepesi wa kusamehe,kusahau na kuzoea shida. Watanganyika wanapenda amani kuliko haki zao. Yatupasa kuwaelimisha vya kutosha bila kusahau swala la mgombea binafsi na katiba mpya.
 
KIRAVU.jpg
makame.jpg
Ha
wa pia wasisahaulike kwa kazi iliyotukuka ya kuiweka nchi pabaya!
 
watu wenye shida huwa hawaongei yakhe!!! sema jingine, watanzania hawa watu wa ajabu sana, kwa taarifa yako, huku wanalalamika huku wanatimiza matakwa ya wakubwa, wakiulizwa eti ..busara...amani....mshikamano

wenye shida hawaongei! kitapanda kitakuwa 3500 they will pay itakuwa usku itakuwa mchana mwaka 2015!!
they probably gona vote for CCM.hata uchaguzi ukiwa kesho wataipigia kura CCM vilevile.tumelogwa vibaya sisi na koo zetu.
 
ndg yangu Bongolala, halii hii lazima ituumize na lazima tufikirie njia mbadala yauwaondoa hawa wanyonyaji madarakani na kupata katiba mpya sio katiba viraka
wape pole tu na wakumbushe kwamba lile pilau na soda walikua wanakula bure kipindi cha uchaguzi malipo yake ndo hayoo.
 
Back
Top Bottom