Nashukuru kwa mtoa mada. Uyu daktari hana mfano wa kulinganishwa nae. Mi maisha yangu yote ntasema na ntaendelea kusema kuwa the difference btwn JKNYERERE and my Dr. is only the matter of who came first and otherwise the difference is negligible! Achana na Topical changia mada uyu anapotezea muda. Mnasema dr.yeye anakimbilia kuwataja MPs wengne eti nao wanamchango ka wa Dr. yaani Topicals hajui kuchanganua na anakimbilia kejeli. Tukisema Nyerere ni hero,si kwamba kila kitu chake kilikuwa kizuri,ila merits outweigh wrongs,that is all. Kumbuka ni binadamu,kama huoni zuri kwake usitukane changia hoja,kumbuka ana heshima yake. Ukishindwa kumheshimu kisiasa,mheshimu kama PhD,ikiwa ngumu muone kama mtu mzima,au basi mtanzania makini. Eti topical alishawahi kuongea na Dr.Slaa ofisini kwake,ivi una akili timamu?ulienda kama nani?kama ulienda kuomba msaada kama mkwere na angali hana ulitaka akakukopee au akupe jibu ambalo hukulipenda? Achana na ushabiki! Hapa hamna haja ya matusi wakuu!