Kikwete ahudhuria uzinduzi wa kaburi la kifahari la mke wa Bingu Mutharika

awtu

Member
Oct 12, 2010
48
0
Rais wa Malawi, Bingu Mutharika, Ijumaa iliyopita alizindua kaburi la kifahari la aina ya jumba la taj Mahal lililopo India.

Sherehe hizo zilisusiwa na Makamu wa Raisi wa nchi, Speaker, Wakatoliki na wapinzani.

JK na rais Banda wa Zambia ndo tu waliokuwepo.

Swali: Hivi JK hana balozi kule kumtaarifu kuwa hicho si kitu kinachopendwa na wananchi wa kule hivyo si bora kuhudhuria?
Alafu mbona alienda huko na kurudi kimya kimya?

Hili mnalionaje?

Source: Raia Mwema Dec 29- Jan.4 uk 21
 
Huyu ndugu bwana!sasa yeye anaona ni muhimu sana kuhudhuria uzinduzi wa kaburi badala ya kutulia nyumbani na kushughulikia matatizo yetu.Yaani inavyoonekana huyu bwana hana nia nzuri na nchi hii!
 
''Swali: Hivi JK hana balozi kule kumtaarifu kuwa hicho si kitu kinachopendwa na wananchi wa kule hivyo si bora kuhudhuria?
Alafu mbona alienda huko na kurudi kimya kimya?
Hili mnalionaje?''

Kweli huyu rais wetu hafikirii,na sijui washauri wake wanfanya kazi gani!!!!!!!
 
Kwani anajua kuwa Watz wanamatatizo? Anasaidia wa2 kama ra, el, ym, somaiyah, to mention few! Kula raha, unaongoza Maj...ha yasioweza kuuliza chochote hata uwalaze njaa kwao sawa tu.
 
Nafikiri kwa sasa anaogopa kwenda Ulaya na USA maana anajua huko waandishi wa habari wanamsubiri.

Atatembea Africa hadi watakuwa wanamnyima VIZA.

Huko kwa Wabovu wenzake watakuwa wanamfurahia tu.

Atarudi huko tena soon maana nchi za Africa siyo nyingi sana.

Tz hakuna umeme, maji, nk sasa kwa nini abaki hapo Dar? Na lile joto............
 
Rais wa Malawi, Bingu Mutharika, Ijumaa iliyopita alizindua kaburi la kifahari la aina ya jumba la taj Mahal lililopo India.

Sherehe hizo zilisusiwa na Makamu wa Raisi wa nchi, Speaker, Wakatoliki na wapinzani.

JK na rais Banda wa Zambia ndo tu waliokuwepo.

Swali: Hivi JK hana balozi kule kumtaarifu kuwa hicho si kitu kinachopendwa na wananchi wa kule hivyo si bora kuhudhuria?
Alafu mbona alienda huko na kurudi kimya kimya?

Hili mnalionaje?

Source: Raia Mwema Dec 29- Jan.4 uk 21

Is this real ??????
bado sijaamini kama kilichompeleka JK ni hilo kaburi tu tena la mke sio la rais.
 
Is this real ??????
bado sijaamini kama kilichompeleka JK ni hilo kaburi tu tena la mke sio la rais.

Mzee Mtazamaji ni kweli kabisa, hata mm nilishangaa nilipoisoma hii habari kwenye gazeti la Raia Mwema leo!! Kweli nilishtushwansana na taarifa hizi (Rais wetu kwenda kuhudhuria uzunduzi wa kaburi la Mke wa Rais wa Malawi, achiliam bali kuwa sherehe zimesusiwa na watu mbalimbali, lakini dhamira ya kwenda kuzindua kaburi alipata wapi?

Hii inashangaza sana, binafsi sikuipenda hata kidogo hii!! kuna wakati aliwahi kusema wakati alipobanwa kuhusu safari nyingi alisema kuwa kuna safari nyingine ni za muhimu ambazo huwezi kumtuma mwakilishai mfano, Raisi Bush akikualika utafanyaje? ok sasa hata kuzindua kaburi nayo ni safari ya Muhimu?

Na tena ni nani alilipa gharama za safari (serikali yetu au ni Bingwa Mutharika, au ni pesa zake mwenyewe!!?

Haya bana safari ndo ilishanza
 
Anatafuta kujiongezea airmiles kabla muda wake haujaisha. We were warned about him, we knew about him and yet we went ahead and elected him! Maji tumeyavulia si budi kuyaoga.

And unfortunately kwenye uchaguzi ujao, waTZ watakuwa wamesahau haya yote na wataichagua tena CCM. I wouldn't be surprised kama Mkwere akijaribu kuibadilisha Katiba ili limit ya two terms iondolewe.

Enjoy the ride for 5 more years!!
 
Mkwere ni mtalii Mwl Nyerere alimshtukia mda mrefu kuwa bado mshamba wa safari na kujirusha
 
Jamani jamani naomba nisiamini habari hii hata kama ni ya kweli maana ni ajabu inayoweza kuwa kweli
 
huyo ndio mkwere aka kristofa columbus the traveller. He waz born to travell. Ana enjoy sana maisha ndani ya jet yake ambayo mwandosya alisema bora wananchi wale majani lakini ndege ya rais ininunuliwe. Kula bata mkwere safiri ukitaka hadi mwezini, wanakupenda sana watanzania. Mi simo nisajawahi mchagua hata siku moja.
 
AfricaNews - Malawi: Mutharika defends Mausoleum funds - The AfricaNews articles of Mtheto Lungu

mutharikaetheltomb1.jpg
 
Balozi wa Malawi ni Patrick Tsere... Kaka najua wewe ni member hapa... Hebu tujuze... Halafu kwanini wenzetu hela yao ina thamani kubwa kushinda yetu?
 
Back
Top Bottom