Recent content by viatu virefu

  1. viatu virefu

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya TANESCO ya kuomba radhi Mkoa wa Shinyanga, Wilaya ya Kishapu

    TAARIFA YA KUOMBA RADHI MKOA WA SHINYANGA, WILAYA YA KISHAPU Shirika la umeme Tanzania Tanesco Mkoa wa Shinyanga linawaomba radhi wateja wake wote Wilayani Kishapu kwa kukosekana kwa huduma ya umeme kuanzia saa 9:00 alasiri. Katizo hilo lilitokana na hitilafu kwenye transfoma inayohudumia mji...
  2. viatu virefu

    JamiiForums Tanzania Waziri Muhongo apiga marufuku wafanyakazi wa wizara yake kupewa bonus

    Huyo muhongo asitake kuingilia utendaji wa watu kwani bonus ni kawaida katika ofisi nyingi na si kwa Tanesco tu hii ni kawaida katika ofisi nyingi as long as ahiasili kitu chochote katika Kazi yeye ningemuona wa maana sana kama atashugulikia matatizo ya wananchi ili wapate Umeme wa uhakika na si...
  3. viatu virefu

    JamiiForums Tanzania TANESCO tuoneeni huruma na hili joto

    Pole sana kwa usumbufu na adha munayaoipata lakini ni wazi kuwa hakuna mgao wa umeme. Ila ukiina Umeme umekatika au ukatwa basi kuna itilafu au matengenezo yanaendelea na ndo maana kumekuwa na taarifa za Mara kwa Mara pindi Umeme unapo katika au unatarajia kukatika
  4. viatu virefu

    JamiiForums Tanzania TANESCO ya Kimara, Mbezi ni jipu lililoiva ila hakuna wa kupasua

    Pole sana Eng kihoza ila kwa Ussuri wangu nakuomba uonane moja kwa moja na maneja Wa kanda au Fanya kama alivyo kushauli mchangiaji hapo juu toa Namba zako usaidiwe
  5. viatu virefu

    JamiiForums Tanzania TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

    Hivi wewe umesoma kweli bado unaongelea udini kweli Tanzania we we badala ulete maswala ya msingi unaongelea ajira za watu what if baba yako ndo angekuwa kaajiliwa Tanesco ungethubutu kuandika hicho ulicho kiandika kweli.
  6. viatu virefu

    JamiiForums Tanzania Tangazo: Katizo la umeme mkoa wa Kinondoni Kusini

    SHIRIKA LA UMEME TANZANIA TAARIFA KWA UMMA TANGAZO LA KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KUSINI Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawawaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme Siku ya Alhamis Machi 10, 2016 kuanzia saa 2.00 asubuhi hadi saa...
  7. viatu virefu

    JamiiForums Tanzania Prof Sospeter Muhongo tumbua hili jipu tafadhari

    Poleni sana wateja wa maeneo hayo Ila ikumbukwe yalitolewa matangazo kuwa kutakuwa na matengenezo maeneo hayo
  8. viatu virefu

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Mgawo wa Umeme kila siku

    Jamani Valentina usemavyo kuwa kunamtu anacheza na switch siyo kweli bali nimatengenezo yanendelea please tujaribu kuwa wapole mambo yatakuwa mazuri tu jamani hiki ni kipindi cha mpito
  9. viatu virefu

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Mgawo wa Umeme kila siku

    Kaka kalinzi ni kweli kabisa hakuna mgao bali ni matengenezo kuwa mvumilivu kuanzia next week hakuna shida
  10. viatu virefu

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Mgawo wa Umeme kila siku

    Ninachofahamu Mimi ni kwamba hakuna mgao Wa umeme ila kuna matengenezo yanaendelea na pia gari la matangazo lilipita juzi na pia habari ilotolewa kwenye vyombo vya habari juu ya matengenezo yanayoendelea
  11. viatu virefu

    JamiiForums Tanzania TANESCO wanaomba kushusha Bei ya Umeme sio kupandisha

    Tanesco haijaomba kupandisha bei ya Umeme Bali imeomba kushusha bei ya umeme . kikubwa kwa habari zaidi ingia kwenye website ya ewura utaona kila kitu siyo kusoma habari za magezitini zisizo na ukweli wowote na kuleta kwenye mtandao
  12. viatu virefu

    JamiiForums Tanzania Kwa wizi huu wa TANESCO, lazima tufike 1.9tr

    mtoa mada naomba utasaidie namba ya mita ili usaidiwe maana hiyo siyo sahiin kabisa pengine mita yako inadaiwa na haujuwi
  13. viatu virefu

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Taarifa ya Katizo la Umeme kwa baadhi ya Mikoa

    samahani kwanza pole kwa usumbufu mnao upata na pia naomba kufahamu uko mkoa gani na ningeomba namba yako ya simu ili nipate kwa ufafanuzi
  14. viatu virefu

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Taarifa ya Katizo la Umeme kwa baadhi ya Mikoa

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWA BAADHI YA MIKOA ILIYOUNGWA KWENYE GRIDI YA TAIFA FEBRUARI 27 NA 28, 2016 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatangazia wateja wake wa mikoa ya Singida, Shinyanga, Tabora, Mwanza, Musoma, Mara, Manyara, Simiyu na baadhi ya maeneo ya mikoa ya Arusha...
  15. viatu virefu

    JamiiForums Tanzania Katizo la umeme Kinondoni Kaskazini / Power outage notice - Kinondoni North Region

    SHIRIKA LA UMEME TANZANIA KATIZO LA UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINI Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:- TAREHE: 26, Februari 2016 (IJUMAA) SAA: 3:00 asubuhi hadi 10:00 jioni...
Back
Top Bottom