Eng kihonza
Member
- Mar 3, 2016
- 41
- 13
Ni miezi mitatu sasa toka nianze kuishi giza. nimewafaata TANESCO zaid ya mara 18 lakini wananipa kauli za kila aina mara nkaweke no hii mara ile mara mita imekufa na mpaka sasa wamenambia watakuja kubadilisha mita ni mwezi sasa toka watoe hyo kauli but mpaka leo kimya. mita zipo mafundi wapo ila hawataki kuja kunifungia mita. kwa kwe kama kuna wakutumbua hili jipu atusaidie watu wa Mbezi ya Kimara