Prof Sospeter Muhongo tumbua hili jipu tafadhari

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,463
Tunakuomba chondechonde mheshimiwa waziri wa nishati na madini utumbue jipu la hawa tanesco wa kinondoni kaskazini.wanaidharirisha sana serikali ya Magufuri.kwa kweli hawatujali kabisa wananchi tunaoishi maeneo ya kisiwani,bonde la mpunga,mikoroshini,msasani mwisho,namanga,General tire,oyster bay,macho na msasani yote kiujumla,yaani wananchi tunaoishi maeneo haya tunapata tabu sana.mara tulale giza,mara tushinde na joto,yani ni full karaha kwa kweli.tunakuomba mheshimiwa popote ulipo tumbua hili jipu jaman,maana ni miaka inaenda na tatizo hili haliishi kabisa,bahati mbaya huku sijapanga bali naishi kwangu ,ingekuwa nimepanga ningeshahama zamaaaaaani sana,tumbua hili jipu mheshimiwa,huyu mkurugenzi na meneja wake wa tanesco ya kinondoni kaskazini wameshindwa kutatua changamoto hii,hebu tengueni teuzi zao tafadhari
 
Poleni sana wateja wa maeneo hayo Ila ikumbukwe yalitolewa matangazo kuwa kutakuwa na matengenezo maeneo hayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom