viatu virefu
Senior Member
- May 25, 2015
- 165
- 20
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA
KATIZO LA UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINI
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE: 26, Februari 2016 (IJUMAA)
SAA: 3:00 asubuhi hadi 10:00 jioni
SABABU: Kuzimwa kwa laini za Oysterbay (O4 na O5), kwa ajili ya kubadili nguzo zilizooza na nyaya zilizochakaa ili kudhibiti hali ya kukatika kwa umeme mara kwa mara,
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
Baadhi ya maeneo ya Kinondoni, Ada Estate, mitaa ya Tunisia, Kinondoni, Laiboni, Kinondoni Moscow, Livingstone, Msese, Stanbic Bank/Ocean Front, Tazara Klabu, barabara za Kaunda na Kenyata pamoja na maeneo ya jirani.
Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka toa taarifa kupitia namba za simu zifuatazo: - Dawati la dharura Mkoa wa Kinondoni Kaskazini: 022 2701602, 0784 768584, 0716 768584 au namba za Kituo cha Miito ya simu 2194400 na 0768 985100
Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na: Ofisi ya Uhusiano,
TANESCO MAKAO MAKUU.
TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED
POWER OUTAGE NOTICE – KINONDONI NORTH REGION.
The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) informs its esteemed customers in Kinondoni North Region that there will be power outage as follow:
DATE: 26th February, 2016 (FRIDAY)
TIME: 09:00 am to 16:00pm
REASON: Shutdown of OYSTERBAY feeders (O4 &O5) for Replacement of rotten poles and conductor to ensure reliable power supply.
AFFECTED AREAS:
Parts of Kinondoni, Ada Estate, Tunisia, Kinondoni, Laiboni, Kinondoni Moscow, Livingstone, Msese Street, Stanbic Bank/Ocean Front, Tazara Club, Kaunda and Kenyata roads and the surrounding areas.
Do not touch any broken conductor. In case of emergency please call Kinondoni North Emergency desk:
022 2774098, 0784 768584, 0716 768584. Or Call center number 2194400
We regret for any inconveniences caused.
Issued by: Public Relations Office
TANESCO HEAD QUARTERS