Recent content by viane

  1. V

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Nape awachana CHADEMA: Wabunge wa Upinzani ni Punguani, Viherehere

    Watu ambao hawajasoma kazi kweli kweli lina ropoka tuuuuu...... Next time avae msuli afiche busha naona linaanza taratibu
  2. V

    JamiiForums Tanzania nisaidieni camera yangu ya digital haitoi picha nzuri kabisaaaaa

    Nimeinunua sapna laki 420000 ni olympus,,,,,model no TG-310 nimejaribu kufanya setting lakini bado,,,, naomba kwa anayejua anijuze please
  3. V

    JamiiForums Tanzania Misemo ya Mpoki jamani!

    Unacheka gari ya lilwyne
  4. V

    JamiiForums Tanzania Wadada na wakaka wa kihaya mpooooo??????

    Yeah,,,, kokutuna...asante sana,,,, nimeona wakaka wa kanyigo wazuri sana na wanadhamini utu ndio maana hadi tumefikia maamuzi.... By the way nawashukuru wote mlio changia mada...karibuni tanga.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Wadada na wakaka wa kihaya mpooooo??????

    Asanteni kwa mchango wenu. Kuna mmoja kasema ati kwa nini nimesema kanyigo! Ila nataka kumjibu kuwa mume mtarajiwa ni wa kanyigo na mungu akijalia december nitatia nanga huko kanyigo. Mwingine kasema kama sijasoma nitapata shida sababu ya ndugu wa mume kunidharau, hilo halina shida sana kwani...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Wadada na wakaka wa kihaya mpooooo??????

    Nimebahatika kupata mchumba wa kihaya,,,kanyigo na natarajia kufika huko kwao december. Zaidi naomba mnijuze nikifika huko nitarajie nini na baada ya ndoa nitarajie vitu gani kutoka kwa huyu mume wa kihaya? Maana mimi ni mbondei.
  7. V

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Tanga na Mapenzi

    Jamaa zangu wa tanga wanapenda kufira tu hawataki mbele wao hufagilia nyuma tu na ukimpa hapo hakuachi zaidi pia wanapenda kula mirungi na pweza na dawa zozote za kuongeza nguvu so ukimpa nyuma utakuwa anakunywea supu ya pweza na mirungu daily ni shughuli tu ya nyumba ijapo mbele utapita lakin...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Kwa wanyeji wa mwanza

    Gold crest casino,,,, lunch nilikua pizeria dinner nitapata nyumban hotel
  9. V

    JamiiForums Tanzania mambo hadharani tcu leo

    Preshaaaaaaaaa,,,,,poleni,,,, ila mtapata tu vyuo,,,,, jiandaeni na kusap, kucarry, kutongozwa, na kupata marafiki wapi.... Maana first year ni new product aka container jipya,,,,, selection ni mwezi wa nane
  10. V

    JamiiForums Tanzania Lete jibu ni nini hiki?

    Mavi na mashuzi
  11. V

    JamiiForums Tanzania mambo hadharani tcu leo

    Kwa wale waliyoomba vyuo mchakato utatimia leo hivyo hadi jioni au kesho mapema selection sitakuwa tayari. Kaeni mkao wa kujua utaenda chuo gani kati ya mlivyochagua
  12. V

    JamiiForums Tanzania Kwa wanyeji wa mwanza

    Naomba msaada sehemu ya maduka wanayouza vitu original kama leci wig, gundi ya leci wing na saloon nzuri pia naomba kujuzwa maduka ya nguo za kike. Asanteni.
  13. V

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Makende yako makubwa sana..... Duh!
  14. V

    JamiiForums Tanzania Live News Interactive!-TBC-1 Yastahili Pongezi!. ''Hongera TBC-1" Keep it Up!

    Tbc ni nyoko tu bora ifungiwe haina kitu, nonsense kbs
  15. V

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini TV za Bara zinadharau majanga yanayotokea visiwani Zanzibar?

    Malipo ni hapa hapa duniani. Kuchoma makanisa ni dhambi kubwa ni sawa sawa na kuchoma msikiti. Hayo ndio malipo so keep quet
Back
Top Bottom