Maduka ya posta, kariakoo, mliman city na sehem nyingi tanzania yana tabia ya ku overate price kupata supernormal profit, ukifanikiwa kwenda nchi za watu asia au europe jaribu kuingia kwenye store zao like samsung shop, sony shop na zinginezo utaona bongo wanavyozidisha bei,
Almost a month ago niliingia kwenye sony shop hyderabad, nikakuta ps3 usd 299 wakati bongo ni kuanzia lak 8 na kuendelea, mliman city ndo 1.3m, nikanunua sony digital camera ya 15.1 megapixel kwa usd 100 tena na warrany card ya 3 year, nikapita pita kwenye mobile shops HTC, apple store and nokia house, yaan vitu bei ni reasonable vibaya, so hiyo camera I am sure sio ya bei hiyo lazima wamekupiga, mjifunze kununua online, au kuwatuma marafik na majiran wanaoenda nje mnapoitaji kitu as bei zake zinawekwa online so hakudanganyi kitu, kwa hiyo bei camera yako inatakiwa isiwa chini ya 20 megapixel, maana hata hiyo samsung smart camera inauzwa usd 300...