Hivi kwa nini TV za Bara zinadharau majanga yanayotokea visiwani Zanzibar?

Yaani huku Unguja hivi sasa ni hekaheka kubwa kila mtu yuko na simanzi. Cha ajabu ukiangalia stesheni za Bara zinapiga ngoma kama vile hakuna kilichotokezea. Jee huu ni uungwana? Mara ile tulipata msiba wabara wao wakaendelea na mashindano yao ya kihuni, leo hii wanapiga ngoma halafu ndo ndugu zetu hawa. Shame on u

kipindi mnachoma makanisa hamukujua kua ni dhambi
 
Yaani huku Unguja hivi sasa ni hekaheka kubwa kila mtu yuko na simanzi. Cha ajabu ukiangalia stesheni za Bara zinapiga ngoma kama vile hakuna kilichotokezea. Jee huu ni uungwana? Mara ile tulipata msiba wabara wao wakaendelea na mashindano yao ya kihuni, leo hii wanapiga ngoma halafu ndo ndugu zetu hawa. Shame on u

Hiyo ni laana mliyojitakia.
Zanzibar ni nchi na katka hali iliyopo Muulizeni Maalim Sharrif.
 
Hiyo ni laana mliyojitakia.
Zanzibar ni nchi na katka hali iliyopo Muulizeni Maalim Sharrif.

Akili zenu ni fupi mno. Kuna mzungu mmoja amekufa pia kuna watanzania bara pia wameathirika. Sasa kama mnajua ni wazenj tu ndo waloathirika basi mmechemsha wazee wa Liwalo na liwe
 
Dhambi ya ubinafisi na chuki itawala mpaka mwisho. Mlipochoma makanisa hamkuwatenda wale tu wanaosali pale bali mlimtenda Mungu mwenyewe na anasema hakika kisasi ni cha kwake. Majanga yataendelea kuwatokea hadi mtakapofikia wakati wa kutubu na kumrudia Mungu wenu.
 
Malipo ni hapa hapa duniani. Kuchoma makanisa ni dhambi kubwa ni sawa sawa na kuchoma msikiti. Hayo ndio malipo so keep quet
 
zanzibar ni nchi bebeni mizigo yenu .

watanganyika acheni ujinga hapa kwa taarifa yenu miongoni mwa maiti zilizo patikana wamo watanganyika wenzenu na inabidi tuwafukie leoleo usiku kwa kukosa wa kuwatambua hii ni ajali usishangae ukakuta unapewataarifa mmoja ni ndugu yako wa damu . Sisi sote tutakufa ila kila mmoja na staili yake so usiwe mjinga katika maafa. ANGALIA LINK HAPO chini sio wa znz peke yao hili ni janga.

http://othmanmapara.blogspot.ie/2012/07/picha-ziadi-maafa-ya-meli.html
 
Kwani znz si nchi ina maana hawana vikosi vya uwokoaji
Tanganyika tunavyo
 
watanganyika acheni ujinga hapa kwa taarifa yenu miongoni mwa maiti zilizo patikana wamo watanganyika wenzenu na inabidi tuwafukie leoleo usiku kwa kukosa wa kuwatambua hii ni ajali usishangae ukakuta unapewataarifa mmoja ni ndugu yako wa damu . Sisi sote tutakufa ila kila mmoja na staili yake so usiwe mjinga katika maafa.

lakini hujui kuwa muanzisha post ameonesha uzanzibari zaidi as if kila anyeingia na kutoka zanzibar ni mzazibari tu!, amesahau udhaifu wa vyombo vya habari vya afrka bali anaweka mbele uzanzibari!, na wazanzibari wote wanaomuunga mkono wana mawazo finyu kama mkia wa nguruwe................................
 
watanganyika acheni ujinga hapa kwa taarifa yenu miongoni mwa maiti zilizo patikana wamo watanganyika wenzenu na inabidi tuwafukie leoleo usiku kwa kukosa wa kuwatambua hii ni ajali usishangae ukakuta unapewataarifa mmoja ni ndugu yako wa damu . Sisi sote tutakufa ila kila mmoja na staili yake so usiwe mjinga katika maafa. ANGALIA LINK HAPO chini sio wa znz peke yao hili ni janga.

ZanziNews Blog: Picha ziadi maafa ya meli

na nyie waunguja acheni upuuuzi wakati treni inaanguka huku Gulwe Dodoma mbona Wapemba na Waunguja walikuwepo ndani ya siku 3 hawakutambulika na tukawazika makaburi ya Relwe maili 2, nyie huko Visiwani hamkusimamisha chochote.
Tusitishane maana mmejazana huku bara kuchukua michele wala hatuwabugudhi TUNACHOWAAMBIA MUNGU AMEYAONA MASAIBU YA WATU WAKE MLIOWACHOMEA MAKANISA NA BAA ZAO zote ni Gharika maji na moto sawa
Mm nawaombea wote waliofariki walale mwa amani wabaki hawa vichwa ngumu tuwape Visiwa vyao
 
si watanganyika wote wenye mawazo mgando kama yako hapa tunazungumzia kukejeli maafa na hata huo ukiristo wako si wanzanzibari wote wenye chuki nao na wala hatutishani hapa binafsi unaonekana mbinafsi mwenye chuki na mwenye roho mbaya unaleta mambo ya makanisa na vichwangumu uwape visiwa vyao. nenda kavunje miskiti basi kule bara ufurahi zaidi .kuwa mstaarabu kaka.
 
Kama hii ni adhabu ya wachoma makanisa, basi na wakristo wenyewe wamo maana na wao wamekufa. Na kibaya zaidi kwa wakristo hao sasa watazikwa kiislam
 
Back
Top Bottom