Recent content by Verifier

  1. Verifier

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Bwana Deceiver, uko wapi? Tukumbushane mambo ya Msange
  2. Verifier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafikiria kumpiga chini huyu Mwanamke, hajui kuishi kwa bajeti

    Ul Ulirithi kwa nani tabia yako ya uchoyo?
  3. Verifier

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Mr. Analyse, hii hadith imeisha?
  4. Verifier

    JamiiForums Tanzania Sintosahau nilivyoachwa park station

    Vipi Dada yako?
  5. Verifier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nyambiri Kwetu
  6. Verifier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Jambo humu! Nakumbuka miaka hiyo, nikiwa katika jiji la A. Makala. Katika eneo nililokuwa naishi, jirani yangu kulikuwa na binti mlimbwende sana. Nilimtamani kwa muda lakini bahati sikuwa na mazoea naye kivile. Siku ya siku, mida ya saa moja jioni, nikiwa katika pub jirani napata windhoek zangu...
  7. Verifier

    JamiiForums Tanzania Historia ya maisha yangu, chamgamoto niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa

    Acha ulofa, kwani mbao sio miti?
  8. Verifier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Uandishi wako unatisha!
  9. Verifier

    JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta na Basi la Kilimanjaro Express

    Tahmeed ndio basi zuri, siti unajiachia utadhani uko kwako!
  10. Verifier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mbona hadithi yako haieleweki?
  11. Verifier

    JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta na Basi la Kilimanjaro Express

    BM nao hivyo hivyo.....Nilipanda Luxury yao, nilitaabika mno. Nilishindwa nyoosha miguu kwani siti zimebanana mno. Bahati mbaya siti ya mbele yangu ilikuwa haiwezi kuwa adjusted hivyo ikawa inanibana kishenzi!
  12. Verifier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi fanya mapenzi na mtu ambaye hukumdhania?

    Nakumbuka kuna mfanyakazi mwenzangu aliinitaa sehemu ( ni mmama na alikuwa kanizidi san umri). Bila hiyana nilienda. Nilimkuta akiwa na mfanyakazi mwingine wa idara moja, huyu alikuwa mke wa mtu. Tulikunywa zetu hadi mida ya saa mbili usiku hivi. Basi yule Mmama akaniita pembeni akaniambia, hebu...
  13. Verifier

    JamiiForums Tanzania Mapumziko ya Mwili na Akili, Lushoto

    Irente View ndio hotel ya hali ya juu kwa Lushoto japo gharama zake ziko juu na haziendani na uhalisia wake.
  14. Verifier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    "Nimetoka job night mida ya sa tano............Nikafunga goli mbili za Mbappe mida ya saa Nne nikamwitia Bolt aksepa"!
  15. Verifier

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nipo huru

    Asante sana ka simulizi nzuri sana!
Back
Top Bottom