Inaendelea....
Sasa katika mazingira yale tuko kama barabaran bi dada ananipa lawama ila kiupole tu kua nimemchelewesha ilitakiwa niwahi kufata koti ili aendelee na bus lake maana alikua kashalipia nauli ya moja kwa moja haitoshi mda ulikua ushakata yan bus la mwishon haitosh tena nauli manati nkasema sa nafanyaje
Basi nikaita polisi maana site yangu watu wangu wa karibu ilikua askari wa lindo wale kazi yangu ya pale ili kuishi vizuri bila kua na ukaribu vizuri na wale ilikuaga ngum kidogo so walikua ka wana tu
Nkawambia wantaftie lift ktk Fuso maana mabasi hamna saa nne usiku yashakata kwa ile location ni nje ya mji labda ubahatishe moja liliharbika likachelewa
Wakati askari wanapambana, namuuliza bi dada vipi si fresh uku namuomba samahan uku mi pia nina haraka yan apate usafiri niendelee na mishe zangu zingine, kiuhalisia ile kaz ilikua 24 7 na kwa mimi nilikua sina shift ya mda wwte hata saa tisa usiku unaweza itwa kwaiyo ikitokea nimepata upenyo wa kupimzika inabid niutumie ka kulala au kuruka town kumeet na wana
Wakati lift inatafutwa bi dada hakua na amani ila nami mda nikawa namuonea huruma **** hiz nyama kuwakabidhi wahuni wa mafuso mbona watazitawanya bioa bi dada kupenda yan km 90 kuwe salama haiwezekani
Nkamwambia bi dada ka vipi poz hapa utalala kwangu kesho mapema ntakuunga na bus za asubuhi, haikua issue maana nilikua kidogo najulikana kwa bus zilizokua zinakatisha ile boda, dada akashusha pumzi yan kama kushukuru Mungu
Basi nkamuescot hadi geto nkamuonyesha sehem zote muhim, aksema njaa nkamuonyesha vya kupika maana mazingira nje kwa ile tym kwa kula kiaina ilikua bora upike maana vyakula vizuri vinaishaga, akanielewa nkatoka kurudi eneo la kaz kuoiga story kikaz na maaskari lakin pia nilitaka awe comfortable kupika nin n.k chumba kimoja msala
Basi nyt kali kama saa saba na dk narud kulala nagonga bi dada kafungua daah nakuta kapiga pamba zangu yan vest flan ambayo ndefu ikawa kama kavaa gaun flan tena la kumshika fupiii daaah nyieee
Haya nikawaza sasa nafanyaje kitanda sawa kikubwa, ila ikwa hii shundu kweli tutalalaje yan nizuge na Tv tena, to be honest kwa mazingira aliyopitia kunifaham asingenipa changamoto yyte yule mtoto wa kisukuma
Tukalala buana, niliona analeta ka masihara sasa kuanza kunipush na lile behewa lake na ilikua makusud maana kitanda kilikua kikubwa ila aliacha nafasi kubwa kimgongo mgongo anakua kama ananisukuma hiv ile kama niwe aware kua niko na shughuli ya aina gani
Kila nikiwaza naona daah huyu mtoto wa kisukuma mbona hiviii, wana kimasihara nkaona ngoja tu nibiduke tutaniane kikatokea kilichotokea nakumbuka kilio chake sio fundi wa kuchambua vitukio maana ni kamda ila show ilikua shoo maana sikujipanga na honesty kutumia usikua mzima ilikua ngum so kihasubun nilicha mkeka
Yakatokea mambo mengi mbelen mi na yule bi dada kahistoria flan japo si kwa ubaya ila sikua na mpango wowote nae
Kwa sasa sijui yuko wapi maana alikua race sana kutaka niwe baba wa familia atakayokua nayo yan nguv kubwa sana ikabid nimblock kila kona maana mi ilikua masihara tu sikua siriaz
Mwishoo.