Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,961
- 24,187
Asante pia mkuu
Wewe ni mpambanaji na ndio maana umefanikiwa binafsi naona riziki Yako ilipangwa hivyo na umeifata hadi umefanikiwa njia yako kufika SA ilipangwa hivyo usihofu na kejeli za hovyo kutoka kwa mtu asiyejua A Wala B ya maishaFwala kama sikuwa na akili zangu kichwani, na nilithubutu, wengine kutoka dar tu kwenda mbeya shughuri
Hapana jamaa alizingua sana kumtegemea mdogo wake wa kike...bora ata dogo wa kiumeKumbuka yeye tayari alikuwa na address wapi anaenda na atapokelewa
Kama ambae alizingua anaishi South wew ambae hajawahi kutegemea dadako unaishi wapi sahiviHapana jamaa alizingua sana kumtegemea mdogo wake wa kike...bora ata dogo wa kiume
Siyo lengo la uzi kufahamu ninapoishi....Kama ambae alizingua anaishi South wew ambae hajawahi kutegemea dadako unaishi wapi sahivi
Ndio mwisho ama?!TWENDE
Basi bwana safari ilichukua kama lisaa au 45 mnts na nakumbuka nauli nililipa rand100, basi nilifika salama nikakuta mshkaji yupo rank ananisubiria, ki ufupi nilikaa mwezi mmoja pale nilifanya shughuri zangu kama nilipokuwa bongo za ufundi, ki kweli nilipata nauli ya kurudi bongo, na nilirudi na simu na laptop. Story ndio kwanza inaanza maana nilirudi tena South mwaka 2014 apo sasa ki biashara zangu, nilikaa mwezi nilikusanya simu na laptop nikarudi bongo, tena nilirudi 2017 South Africa ambapo mpaka sasa naishi na familia yangu nillichukua kutoka bongo, watoto wanasoma maisha yanaenda. Nashukuru mungu,
Anaandika kama ana pumua imagineKwahiyo mkuu unataka aandike non stop bila kupumzika?![]()

Sasa we uwe yaya tena honey wako utamuacha wapi na tumbo lake.😅😅😅Hongera my son, ulipambana,
ukitaka yaya nishtue mwanangu 😎
Vipi Dada yako?TWENDE