Recent content by verifaidi yuza

  1. verifaidi yuza

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Alipewa pasi 1v1 na kipa akambutua kipa
  2. verifaidi yuza

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nzi, nyumbu na kenge zimejaa humu kutuliza maumivu ya timu zao
  3. verifaidi yuza

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wazee wangu handicap ya goli na wenyewe imewashinda 😂😂😂 Aaahhh hii inaitwa jana na leo
  4. verifaidi yuza

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kai Saka Hawa jamaa hawapaswi kuwa starter wa hii timu
  5. verifaidi yuza

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nini kinaendelea? Naona tunakandwa tu sijacheki gem
  6. verifaidi yuza

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kwenye soka la kisasa unaweza ukawa na vingi sana ila kama ukiwa hauko available mda mwingi thamani yako inashuka Partey alikua mzuri Jesus alikua mzuri Tulikua na Tomiyasu Hao wote injury imefanya tuwape mkono wa kwa heri
  7. verifaidi yuza

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kaka kwaio huyo Jesus hana mapungufu kabisa? Sasa mbona Guardiola alimuacha akaleta Haaland
  8. verifaidi yuza

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kaka huonekani kule jukwaa la Makenge
  9. verifaidi yuza

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hakuna raha kaka Ni uchungu 😭😭😂😂
  10. verifaidi yuza

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Oyaa washagonga negative tayari 😂😂😂🙌🏾
  11. verifaidi yuza

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Watafute droo kwani ni makabati haya 😂😂😂
  12. verifaidi yuza

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kweli kenge sio wa kuwapa dhamana Nimewapa Handicap goli mbili na hamjatoboa 😂😂😂
  13. verifaidi yuza

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nyie sasa tuwaite Zuchu FC
  14. verifaidi yuza

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hivi ni kweli router za Yas bei imeshuka? Kwa mwenye namba za muuzaji naomba msaada
  15. verifaidi yuza

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hizo zilipendwa 😂😂😂
Back
Top Bottom