Partnership ya Bruno/Rice huwa haiwi sophisticated kama ya Rice/Lewis. Nilitegemea pea ya pili ingeanza then kama kawaida Bruno anaingia kuweka la ushindi.Kikosi kimetoka
Uwepo wa Calafiori ambaye mara zote amecheza kama inverted fullback atasaidia kucover eneo la kati. Bruno acheze kibabe mtindo aliouishi Newcastle, unfinished article kama Nyoni sioni akivumilia hilo.
Forward ina pace wings zote ila ST hamna kitu. RW hua ana questionable decision making na kupoteza mipira unnecessarily. Hope kikosi kinajua umuhimu wa hii game so kitastep up.
Liver ina Gakpo na Araujo kama weak links. Wirtz huwezi jua kaamkaje, nafikiri kocha wao ni smart kumuweka Barcola upande wa Calafiori kwakua Barcola atakua anacut in kuufuata mguu dhaifu wa Calafiori. Rice na Tzolis itabidi waassist huu upande.
Other than that, sub zifanywe mapema.
Sijui, ila naona ugumu wa kutengeneza nafasi za ushindi kwenye game ya leo.
All in all tunashinda hii.