Recent content by veemecky

  1. V

    Nafasi 50 za kazi ya muda mfupi

    kaz ha site na kaz zs ofcn tofaut kabisaa.9500 per day co mbaya kwakwel usafir upo .apo akila chakula cha elfu3 mbona akiba inabak kulko kukaa tu jobless
  2. V

    Ni jinsi gani ya kujiunga na JWTZ kwa graduate

    ivyo pitia jkt kwanza
  3. V

    Ni jinsi gani ya kujiunga na JWTZ kwa graduate

    bunge lishasema asaiv vikos vyote iwe jesh polis au magereza wanachukua vijana wa JKT
  4. V

    Nimeitwa kuanza mafunzo ya jeshi la zimamoto

    hali ilivyo sasa.Nakushauri hairisha mwaka wa masomo afu nenda huko ulikoitwa.elimu haina mwisho lkn chance kama io uliyopata n nadra sana kwa sasa.Kumbuka masomo hairisha rasmi usiache kihorela horela
  5. V

    Post na selection za form five 2017/2018 zinatoka lini?

    Jana ndo kaz imeanza kuchagua.rafik angu mwl mkuu ndo kanambia
  6. V

    Mdau anatafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi ajira mpya za madaktari

    hii serikal co yakuchagua chagua.bora uende tu shinyanga ndgu yangu.ucje ukakatwa buree
  7. V

    Ajira alizotangaza Rais siku ya Meimosi zitahusisha na walimu wa sanaa na biashara?

    Habari za jioni.Ajira alizotangaza Mh Rais siku ya meimos zitahusisha na walimu wa sanaa na biashara?? Kwa anaefahamu msaada.
  8. V

    Kwa wanafunzi waliopata div 3 ya point 22 hadi 25

    kama ni msichana kasoma shule ya serikali anaenda kidato cha tano.
  9. V

    Msaada tafadhali: Vitabu vya Kiswahili

    Bookshop ilyopo udsm utavipata vyote
  10. V

    Unafanyaje kujizuia kufanya mapenzi na mkeo /mmeo kipindi hiki cha kwaresima?

    Lkn pia tunakumbushwa kipind hik ni cha kukumbuka mateso ya yesu na kuyaish kiiman. Sidhan kama inapendeza kushirik tendo ukiwa umefunga chakula au matendo. Hik n kipind cha kujinyima ivyo hata kushirik yatupasa kushirik ukiwa umefungua
  11. V

    Unafanyaje kujizuia kufanya mapenzi na mkeo /mmeo kipindi hiki cha kwaresima?

    Kama mmefunga ndoa. Waruhusiwa kushirik tendo la ndoa lkn nkuanzia saa moja jion mda ambao umefungua
  12. V

    Msaada kwenye tuta, nimeitwa interview

    Nakushaur tafuta website yao. Uwasome vzur activity zao na goals. Hop utapata kamuongozo
  13. V

    Mwalimu wa kiswahili

    Habarini Umri miaka26 Jinsia ke Taaluma : 1.Stashahada ya uzamili katika elimu. 2. Shahada ya awali katika kiswahili Yuko teyari kufanya kazi mahala popote. Ngazi yeyote ya elimu iwe msingi, Sekondari na vyuoni Ahsanteni.
  14. V

    Facebook and instagram installer needed

    Ads ndio nn?? Fafanua ndgu
Back
Top Bottom