Ni jinsi gani ya kujiunga na JWTZ kwa graduate

Habari zenu wakuu.. Naomba Kufahamu ni Jinsi gani nina weza kujiunga na JWTZ, mimi ni graduate nataka kulitumikia taifa kupitia JWTZ, ila sikupata nafasi ya kupitia JKT .. Je itawezekana kujiunga na JWTZ bila kupitia JKT? Au ni lazima kwanza nianzie JKT? Na pia Hua inachukua muda gani kwa graduate kupelekwa Monduli pale Tanzania Military Academy? Ningependa kufahamu...[/
___________________________________________________________________________________
 
I see .. nilidhani all graduates wanaenda Monduli kumbe sio hivyo nashukuru kwa kunipa mawazo mapya .. ikiwa kama kwenda huko ni bahati hapo nina wasiwasi wa kujiunga na jeshi ila kama ikiwa kwenda huko ni kutokana na hard working basi bila shaka nita fight kwa hiyo nafasi .. I want to be Military Officer, I want to serve my country
Upo Kwa ajili ya kutafuta mtaji ww unavyoonekana Tu maelezo yako,unawaza kwenda monduli tu basi,ingia Kwa ajili ya kulinda taifa lako,sasa ww inavyo elekea kuna mtu kakudanganya Na hcho kielimu chako MH
Hautadumu wewe am sure
 
I see .. nilidhani all graduates wanaenda Monduli kumbe sio hivyo nashukuru kwa kunipa mawazo mapya .. ikiwa kama kwenda huko ni bahati hapo nina wasiwasi wa kujiunga na jeshi ila kama ikiwa kwenda huko ni kutokana na hard working basi bila shaka nita fight kwa hiyo nafasi .. I want to be Military Officer, I want to serve my country

To serve your nation doesn't need you to be only military officer my friend,even teacher,au hata ukawe koplo wanasevu bana.

So jiangalie unataka kuwa officer au mwanajeshi
 
Tafuta kwanza nafasi ya JKT kwa kutumia cheti cha form four
Ukipata hio nafas university transcripts utazionyesha wakati Wa usairi
Ukijichanganya ukaomba nafas ya JKT na mivyeti yako ya chuo hupati
 
C kwamba nikitendo rahisi kwamba nenda jkt, kuna utaratibu wake ili uweze ingia jkt na si mchezo, kwan sasa kuna usaili wa jkt ngazi ya wilaya ukipita unaenda ngazi ya Mkoa ambayo niya mwisho

Na si kwamba kisa ww ni graduate et lazma uende munduliii huko huwa nibahat kwenda jwtz kuna graduates weng lakini waliopata fulsa ya kwenda munduli niwachache na wanao hitim munduliii wa chache sana pia.

Kama unaingia jwtz kulitumikia taifa usiwazeee munduli kabisaaaa we nenda ukiwa na Bahat utaenda munduliii na pia kuhitimu munduliii ni bahat pia
Wewe lazima unapajua lashaine
 
I see .. nilidhani all graduates wanaenda Monduli kumbe sio hivyo nashukuru kwa kunipa mawazo mapya .. ikiwa kama kwenda huko ni bahati hapo nina wasiwasi wa kujiunga na jeshi ila kama ikiwa kwenda huko ni kutokana na hard working basi bila shaka nita fight kwa hiyo nafasi .. I want to be Military Officer, I want to serve my country
You can serve your country even if you're a graduate soldier so don't think about star think about your nation.
 
Mkuu J O,jeshi la wataalamu ni lile linalojumuisha wahitimu wa Shahada ya Kwanza,Shahada ya Uzamili/Umahiri na Shahada ya Uzamivu. JWTZ huhitaji wa aina hiyo. Utaratibu huo ulianza 2008. Hao hawana haja ya kupitia JKT
Hv mnamaanisha nini kusema wataalamu ni hao mliowataja? VP wale mafundi ndege, meli ,vifaru na hawana degree wala PhD hao sio wataalamu?
 
kuna watu wapo humu kukatisha tamaa wenzao humu boy km ndoto zako n kwenda jeshin pia ni idea nzur saana hasa mida hii majeshi yanahitaj wasomi usikate tamaa fuata utaratibu tu naiman hutakosa
 
Back
Top Bottom