Msaada kwenye tuta, nimeitwa interview

Just google general interview questions, pia jitahidi ujue duties za hiyo kazi uliyoomba.
On top of that punguza ukali, hii ni free forum usitake majibu yanayokupendeza tu....kujiongeza ni muhimu.
All the best
 
HR wanahusika na recruitment of new employees sasa ww HR toleo gan usiejua interview tips???
Ingia you tube utapata
 
ungetaka aajiriwe bibi yako wa kiume sio????endelea kusugua benchi pumbafuuuuu

Acha kutoka povu na kupanic na watu usiowajua humu!! Umejitambulisha kama "miss" ili uweze kuuza mbunye/kahaba na watu wamekomaa hawanunui.

Mtu mwenye akili nzuri angetumia internet yake ku-google tips mbalimbali za maandalizi ya usaili/interview.

Angetembelea tovuti/website ya kampuni husika na kuangalia wasifu/profile yao na kujua wanafanya nini(their products and/or services), wameanza lini, wana ofisi wapi na wapi, wana sera/policy zipi n.k/etc

Mwisho wa siku angetengeneza rejea/notes nzuri ambazo angekuwa muda huu anajisomea kuliko kutafuta ushauri kwa mapimbi kama wewe!
 
Mleta uzi anaonekana yuko faster kureact wakati angeweza kufanya anachoshauri wasiomwelewa wafanye.

Angekaa kimya tu kwa comment zisizompendeza.

Ila ana majibu shit si mchezo.
 
Du sasa graduate ata km nimesoma project mgnt, nikiitwa interview kwenye fani ya education nitashindwa kujua ni nn chakufanya!? jiamini na tumia tahaluma yako km graduate. Ndo tatizo la match items na multiple choice.
 
habarini za muda huu wadau, mm ni graduate katika fani ya HR, kuna kazi niliomba, nimepata email ya kuitwa kwenye usaili, post ya field educator supervisor, kwenye NGO fulani, mwenye kujua maswali yanayo ulizwa au mwongozo wa interview anajuze (written + oral)
Acha kutoka povu na kupanic na watu usiowajua humu!! Umejitambulisha kama "miss" ili uweze kuuza mbunye/kahaba na watu wamekomaa hawanunui.

Mtu mwenye akili nzuri angetumia internet yake ku-google tips mbalimbali za maandalizi ya usaili/interview.

Angetembelea tovuti/website ya kampuni husika na kuangalia wasifu/profile yao na kujua wanafanya nini(their products and/or services), wameanza lini, wana ofisi wapi na wapi, wana sera/policy zipi n.k/etc

Mwisho wa siku angetengeneza rejea/notes nzuri ambazo angekuwa muda huu anajisomea kuliko kutafuta ushauri kwa mapimbi kama wewe!
kahaba baba yako, kama ndo kazi alio kuwa anafanya aka kuzaa ww usidhani kila mtu ana fanya ukahaba uwe na adabu mshenzi wewe
 
Back
Top Bottom