conservative3
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 1,134
- 810
mkuu kwa sheria inayoisimamia hilo jeshi.tafuta mtu wa zimamoto na uhamiaji akuambie amendement ya sheria iliyoifanya kuwa majeshi.kwa sasa sina copy.(nafahamu katiba inatamka idara ila ukweli washabadili sheria zinazoisimamia ) na pia ndio wakati walipobadili kutoka kamishna mkuu kwenda kamishna jenerali hadi kwa magerezaKwa katiba ipi?