Mdau anatafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi ajira mpya za madaktari

GreatEngineer

Member
Apr 13, 2017
21
48
Habari zenu wana JF,

Kuna mdogo wangu hapa amebahatika hizi ajira mpya za Madaktari 258.
Yeye amepangiwa Shinyanga lakini kutokana na sababu za kifamilia anapendelea kuwa mkoa jirani na Mbeya. So kama kama kuna daktari aliyepangiwa Mbeya wilaya yoyote au Songwe au Njombe na anatamani angekuwa Shinyanga basi aje PM ASAP.

Natanguliza shukrani.
Note: Kwa mwenye kuafikiana na hili ombi inabidi tuwasiliane haraka kwa sababu by May 5 2017 inabidi wawe wamesharipoti vituoni(as per Tangazo la TAMISEMI la tarehe 1/5/2015)
 
Jaribu kushirikisha ubongo japo kidogo. Mtu anaweza kuplan jambo A leo kesho likabadilika. Mipango si matumizi na Mumba hubadilisha mipango wakai wowote.
Au hoja yako ni nini?Kwamba ni fake?Ustaarabu ni kitu cha bure.
Samahani kama unaona umekosewa ustaarabu,mi nimeuliza tu,maana huko Kenya alikotaka kujiripua sidhani kama kuna hiyo fursa ya kuchagua.
 
[QUOTE="
Note:Kwa mwenye kuafikiana na hili ombi inabidi tuwasiliane haraka kwa sababu by May 5 2017 inabidi tuwe tumesharipoti vituoni(as per Tangazo la TAMISEMI la e tarehe 1/5/2015)
Duh!! mdogo wako halafu tuna unasema inabidi wewe ndio ukaripoti??jiamini daktariiiiiii
 
Habari zenu wana JF,

Kuna mdogo wangu hapa amebahatika hizi ajira mpya za Madaktari 258.
Yeye amepangiwa Shinyanga lakini kutokana na sababu za kifamilia anapendelea kuwa mkoa jirani na Mbeya. So kama kama kuna daktari aliyepangiwa Mbeya wilaya yoyote au Songwe au Njombe na anatamani angekuwa Shinyanga basi aje PM ASAP.

Natanguliza shukrani.
Note: Kwa mwenye kuafikiana na hili ombi inabidi tuwasiliane haraka kwa sababu by May 5 2017 inabidi wawe wamesharipoti vituoni(as per Tangazo la TAMISEMI la tarehe 1/5/2015)
Kwa nini aliyekubaliana na ombi hasiwasiliane na muhisika mojakwamoja? Au wewe ni dalali?
 
Mwambie kwanza akaripoti kituo cha kazi alichopangiwa,,halaf ndio aanze utaratib mwngine,yeye hata kuripot hajaripoti halaf anachagua kituo cha kaz,,mwambie ndugu yako akatulie kwanza pale then ndio aje upya baada ya mwezi
 
Back
Top Bottom