Ajira alizotangaza Rais siku ya Meimosi zitahusisha na walimu wa sanaa na biashara?

veemecky

Member
Sep 4, 2016
27
30
Habari za jioni.Ajira alizotangaza Mh Rais siku ya meimos zitahusisha na walimu wa sanaa na biashara?? Kwa anaefahamu msaada.
 
Subiri mwalimu muda utafika na hayo yote yatatimia. Endelea kufanyakazi kwa bidii ili kulijenga hili Taifa kongwe napia ninjia nzuri ya kuondoa msongo wa mawazo kupitia kufanyakazi ya kujiajiri bila kutegemea msaada wa serikali yetu pendwa sana
 
Kuna ziada ya walimu wa sanaa ambao ni wasanii 7000 hivyo hatutawaajiri.
Mtusamehe.
 
Back
Top Bottom